Manabii na mitume wa leo kwanini hamuandiki biblia ya agano la leo

Manabii na mitume wa leo kwanini hamuandiki biblia ya agano la leo

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu,

Hapa bongo tuna manabii na mitume wa kutosha tena ni wengi kuliko hata wale wa israel wa kule kwa Netanyau kama vile Matayo, samwel, petro, yuda, timo na warumi.

Hapa tunao manabii machachari akina Mwamposa, Malisa, Kapora, Mzee wa upako, Titto na wengineo wengi.

Hawa wateule wa Mungu wanasubiri nini kutuandikia biblia ya ki leo biblia ya kizazi kipya cha smartphone, insta na facebook ili na sisi hapa bongo tuanze kusikika mpaka huko ulaya biblia yetu iuzike duniani kote.

Hawa manabii wanasubiri nini ? Au wao ni wwchambuzi kama wachambuzi wa mpira?

Au mitume na manabii ni wazungu na waarabu tu?

Kwanini hawaandiki biblia ya agano la leo?
 
IMG-20240715-WA0516.jpg
 
Biblia iliyopo ndiyo inawapa ulaji.Anatokea mtu mmoja msanisanii,anapora mstari mmoja kutoka kwenye bible na kuanzisha kanisa linalosimamia mstari huo tu.
 
Back
Top Bottom