๐— ๐—”๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐— ๐—”๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

1_20250116_224416_0000.png

Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku itakata Dunia nzima? ๐Ÿ˜‰

Ila hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje... Kiuwalisia ndiyo mwaka huu 2025 kuna tukio la kupotea kwa Mawasiliano Duniani lakini ni siku gani? Haijatajwa.

2_20250116_224416_0001.png

Ukipitia page ya @bongotech255 Instagram alielezea kuhusu dunia Kuna siku Mawasiliano yatakatika lakini hii ni tukio ambalo Nasa waliweza kulitangaza toka Mwaka 2023 Machi 6, walisema mwaka 2025 intaneti itakosekana dunia nzima.

4_20250116_224416_0003.png

Tukio hili tunaweza kusema ni Solar storm au solar flare ambapo jua litaweza kuwa kali yani ni Dhoruba kali ya jua itaweza kuikumba dunia mwaka huu 2025, jua linatarajiwa kufika kiwango Cha juu na kuwa kali mara kumi yake na kupelekea mitandao kupotea kwani itaweza kuzuia njia zote za Mawasiliano kufanya kazi kwa kipindi kadhaa.

3_20250116_224416_0002.png

Lakini baadhi ya watumishi wa Mungu wanajiita manabii wanawaambia waumini wao kuwa Mungu hamewaotesha kuwa intaneti itakata Dunia nzima.....๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

Hatuko kuwadharau dini za watu lakiniโœ๏ธ.
 
Ikate tu. Angalau kwa mwezi watu warudishe ukaribu wa kuongea ana kwa ana kuliko kupitia simu.

Influensa mtanisamehe
 
Hao manabii wametembea kwa wanasayasi ambao wanasema hivi
1737859304014.png

Wameona fursa wameruka nayo ๐Ÿคฃ
 
Hata ukiwauliza internet inaconnect vipi hawaelewi, wamejaa utapeli,
Na wangesema Kwa bongo tu sawa mana nao wanajua serikali itafanya wakati wa uchaguzi, si unajua wanavyofanyaga sms 45 unalipia 500/= Tsh
 
Back
Top Bottom