Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ ๐๐ป๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ฒ๐๐ฒ๐๐ต๐๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐ถ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ฒ๐๐ถ ๐ถ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku itakata Dunia nzima? ๐
Ila hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje... Kiuwalisia ndiyo mwaka huu 2025 kuna tukio la kupotea kwa Mawasiliano Duniani lakini ni siku gani? Haijatajwa.
Ukipitia page ya @bongotech255 Instagram alielezea kuhusu dunia Kuna siku Mawasiliano yatakatika lakini hii ni tukio ambalo Nasa waliweza kulitangaza toka Mwaka 2023 Machi 6, walisema mwaka 2025 intaneti itakosekana dunia nzima.
Tukio hili tunaweza kusema ni Solar storm au solar flare ambapo jua litaweza kuwa kali yani ni Dhoruba kali ya jua itaweza kuikumba dunia mwaka huu 2025, jua linatarajiwa kufika kiwango Cha juu na kuwa kali mara kumi yake na kupelekea mitandao kupotea kwani itaweza kuzuia njia zote za Mawasiliano kufanya kazi kwa kipindi kadhaa.
Lakini baadhi ya watumishi wa Mungu wanajiita manabii wanawaambia waumini wao kuwa Mungu hamewaotesha kuwa intaneti itakata Dunia nzima.....๐โโ๏ธ
Hatuko kuwadharau dini za watu lakiniโ๏ธ.