Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

Inawezekana kazi zinatangazwa na matapeli kwa sababu ni watu wengi wanalalamika hivyo
nimeomba hili shirika mpaka nimechoka nadhani kuna urasimu sana mule ndani
 
nimeomba hili shirika mpaka nimechoka nadhani kuna urasimu sana mule ndani
Inawezekana bado hujafikia vigezo katika ushindani Mkuu, isitoshe, umeomba online na unakuta mlioomba ni wengi.
usifanye hitimisho kirahisi hivi mkuu.
kazi zipo kwenye ushindani sana.

Tumia mbinu nyingine zaidi, boresha CV yako ili ufanikiwe.
 
Kuna uchaga mwingi sana palee... Sikumbuki kama kuna mtu aliajiriwa katika tuliofanyaga interview wat 10, kila mtu alikosa je aliyepat interview aliifanyia wapi!?
Kwenye position ipi mkuu?
 
Wana ajiri na hata malipo yao yamechangamka. Kama una sifa jaribu bahati yako!!
kwa idadi ya post wanazotoa watu kwenye groups wanaoomba ingekuwa hata anapatikana 1/10 ila sijawahi kuona

labda ni wale wanaweka post geresha huku wakiwa wana majina yao tayari
 
kwa idadi ya post wanazotoa watu kwenye groups wanaoomba ingekuwa hata anapatikana 1/10 ila sijawahi kuona

labda ni wale wanaweka post geresha huku wakiwa wana majina yao tayari
Sio kwa MDH tu, mashirika mengi yanayotangaza ajira humu, watu wanoomba na kufanikiwa huwa hawaleti mrejesho.
 
Back
Top Bottom