Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonishangaza ni Hilo shirika kutangaza ajira nyingi kila sikukwa idadi ya post wanazotoa watu kwenye groups wanaoomba ingekuwa hata anapatikana 1/10 ila sijawahi kuona
labda ni wale wanaweka post geresha huku wakiwa wana majina yao tayari
Haha ni kweli kabisa.
Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na muhusika na kuewa maswali na majibu na akamkuta muhusika kwenye panel so akateleza tu.
Mimi nina jamaa yangu ni senior lecturer chuo kikubwa hapa Tz, na kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi USA kwenye program za HIV kwa miaka 7 kabla ya kuitwa bongo aje afundishe. Anakuambia kazi za MDH za regional manager ameomba mara kibao ila hola mpaka akaniuliza..."Mzee hawa jamaa wako serious kweli, hata interview moja sijawahi itwa"..so nikamwambia pale bila connection ni kazi ngumu kupata kama ni jinsia ME. Chances za kupata sio zaidi ya 10%.
So wewe kama unaomba omba tu, ila ujue anything can happen manake mungu ndio muweza wa yote.
Kinachonishangaza ni Hilo shirika kutangaza ajira nyingi kila siku
Wale mikataba yao miez 6 Tu.. Sasa ole wako [emoji16]Kinachonishangaza ni Hilo shirika kutangaza ajira nyingi kila siku
Duh only six months no Wonder daily wanatangaza nafasiWale mikataba yao miez 6 Tu.. Sasa ole wako [emoji16]
Ni kweli wao daily kazi ukiona organization haitulii na wafanyakazi ujue hyo ni sehemu stress ya kufanya kaziSijui wanakuwa na haja gani ya kusumbua watu wakati wanawekana.
What do you mean aliombwa mambo akatoa...Haha ni kweli kabisa.
Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na muhusika na kuewa maswali na majibu na akamkuta muhusika kwenye panel so akateleza tu.
Mimi nina jamaa yangu ni senior lecturer chuo kikubwa hapa Tz, na kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi USA kwenye program za HIV kwa miaka 7 kabla ya kuitwa bongo aje afundishe. Anakuambia kazi za MDH za regional manager ameomba mara kibao ila hola mpaka akaniuliza..."Mzee hawa jamaa wako serious kweli, hata interview moja sijawahi itwa"..so nikamwambia pale bila connection ni kazi ngumu kupata kama ni jinsia ME. Chances za kupata sio zaidi ya 10%.
So wewe kama unaomba omba tu, ila ujue anything can happen manake mungu ndio muweza wa yote.
Hili shirika nahisi linataka attention tu. Na wana watu wao tayari maana kuna kipind nilimpelekea application dogo nikakuta wengne maombi yao yanachukuliwa kwa simu😂mtu anafika MDH HQ anapiga simu staff anakuja kuchukua bahasha wengne mnaacha mapokezi au kwa mlinzi.
🤣🤣🤣🙌Hili shirika nahisi linataka attention tu. Na wana watu wao tayari maana kuna kipind nilimpelekea application dogo nikakuta wengne maombi yao yanachukuliwa kwa simu😂mtu anafika MDH HQ anapiga simu staff anakuja kuchukua bahasha wengne mnaacha mapokezi au kwa mlinzi.