Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

Inawezekana bado hujafikia vigezo katika ushindani Mkuu, isitoshe, umeomba online na unakuta mlioomba ni wengi.
usifanye hitimisho kirahisi hivi mkuu.
kazi zipo kwenye ushindani sana.

Tumia mbinu nyingine zaidi, boresha CV yako ili ufanikiwe.
sio mbaya ukinisaidia mbinu zingine ambazo unadhani zitasaidia

Ila pale kuna kitu aisee maana haiwezekani kabisa hata kuitwa tu kwa interview napo ni mbinde
 
Mkuu nilpiga interview pale mwaka jana kitambo Tu ila nliyoyaona pale acha kabisa
Ebu tupe habari kidogo kuna mwamba hapo juu anaona kila anayelalamika amekata tamaa
 
Pale kuna shida mkuu.. Siongei San nkaonekan mnafki au ubinafs la hasha. Kama kuna mtu anaota kupata kazi pale kirahis asahau labda awe mwanamke nmeona wafnykaz wake wengi wanwake [emoji28]
hahahaa kwa io ambao tuna ndoto za kuvaa vitambulisho vya MDH tuamke usingizini sio
 
Pale kuna shida mkuu.. Siongei San nkaonekan mnafki au ubinafs la hasha. Kama kuna mtu anaota kupata kazi pale kirahis asahau labda awe mwanamke nmeona wafnykaz wake wengi wanwake [emoji28]
Haha ni kweli kabisa.
Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na muhusika na kuewa maswali na majibu na akamkuta muhusika kwenye panel so akateleza tu.

Mimi nina jamaa yangu ni senior lecturer chuo kikubwa hapa Tz, na kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi USA kwenye program za HIV kwa miaka 7 kabla ya kuitwa bongo aje afundishe. Anakuambia kazi za MDH za regional manager ameomba mara kibao ila hola mpaka akaniuliza..."Mzee hawa jamaa wako serious kweli, hata interview moja sijawahi itwa"..so nikamwambia pale bila connection ni kazi ngumu kupata kama ni jinsia ME. Chances za kupata sio zaidi ya 10%.

So wewe kama unaomba omba tu, ila ujue anything can happen manake mungu ndio muweza wa yote.
 
@kiwavunge njoo ujibu hoja huku au utubu tu
 
Back
Top Bottom