Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

kwa idadi ya post wanazotoa watu kwenye groups wanaoomba ingekuwa hata anapatikana 1/10 ila sijawahi kuona

labda ni wale wanaweka post geresha huku wakiwa wana majina yao tayari
Kinachonishangaza ni Hilo shirika kutangaza ajira nyingi kila siku
 

Nina experience pia
Huyo mdada aliajiriwa kabla vyeti havijatoka
Yupo Tabora
Wala hakutuma maombi alimpa mtu CV shughuli ikaisha
 
What do you mean aliombwa mambo akatoa...
alipigwa miti!!??
 
JOB VACANCIES
See the document below for more information:
MDH TANZANIA JOBS ADVERT PDF
Hili shirika nahisi linataka attention tu. Na wana watu wao tayari maana kuna kipind nilimpelekea application dogo nikakuta wengne maombi yao yanachukuliwa kwa simu😂mtu anafika MDH HQ anapiga simu staff anakuja kuchukua bahasha wengne mnaacha mapokezi au kwa mlinzi.
 
🤣🤣🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…