Mimi ninacho jua Alikiba ana shida kuliko management...kama msanii hajakubali kitu ni ngumu management kukifanya!Sallam alishasemaga Management ya kiba haiko poa.. Hawajui kupush mambo yao, hawajui kuwa aggressive wapate wanachotaka!! Wimbo wa Mwanaungemfikisha mbali sana kiba ila wakambwela.. Pia kiba mwenyewe needs to change his attitude!!
Yap kabisa mkuu!! Inawezekana ni hizi ngonjera za 'uKing' zimemjaa kichwani.. Ndio maana nimesema abadili attitude yake.. Yani anaishi as if ameshatimiza malengo yake yote ya maisha so haitaji kuwork hard anymore!!Mimi ninacho jua Alikiba ana shida kuliko management...kama msanii hajakubali kitu ni ngumu management kukifanya!
Alikiba bado ana ushamba wa kutafuta hela jiulize mbona Jide tena wapo management moja anafanya tour kila mkoa na tarehe 4 ni dodoma baada ya Dar?
Nimeelewa point yako ya majungu,fitina na figisu figisu, hivi Michael Jackson alikuwa anafanya show ngapi kwa mwaka?
Labda tu niulize swali dogo, Kiba kusaini mkataba na Sony Hays siyo mafanikio? Au Kiba naye aanze show kama za Twanga Pepeta Mara NNE kila wiki?
Loading........
Mtu anatumia cost kubwa kwenda south kupata video wakati show zenyewe hapigi wala haandai bali anategemea matamasha ya Clouds na East Africa radio...Yap kabisa mkuu!! Inawezekana ni hizi ngonjera za 'uKing' zimemjaa kichwani.. Ndio maana nimesema abadili attitude yake.. Yani anaishi as if ameshatimiza malengo yake yote ya maisha so haitaji kuwork hard anymore!!
Hebu sema unapinga hoja gani kati alizo ziandika?Kwa kuwa umeshajieleza hapo juu kuwa ni,MAJUNGU,UMBEA NA FIGISU FIGISU, basi yooooooooooooooote unayoongea kama watu wanajitambua watakuwa wanajua malengo yako ni hayo hapo juu.
Sio wa Aje tuu nyimbo zake zote ni Almasi lakini ukitaka kujua kuwa Alikiba ni tatizo angalia hoja za mashabiki zake mtu anauliza eti michael Jacksoni anafanya show ngapi kwa mwaka!Alikiba popote ulipo kama una mawazo kama haya hapa Pole kaka.
Wimbo kama Aje ni almasi inayooza ukiwa na akili kama hizi.
Hahaha!! Na hili jinamizi la kutaka kujipambanua kuwa yeye ni zaidi ya Diamond litamcost sana.. Mwenzake kuna stages amepitia mpaka kufika alipo sasa yeye hataki kupotia hizo stages coz ataonekana sio babkubwa kama diamond ndio matokeo yake sasa amejijengea kiburi kuwa yeye 'hataki makuu' wakati ndio anadumaa kisanii..Mtu anatumia cost kubwa kwenda south kupata video wakati show zenyewe hapigi wala haandai bali anategemea matamasha ya Clouds na East Africa radio...
Kiba lazima ana tatizo maana hakuna management inaweza kushindwa kufikiri kuwa kiba anatakiwa kuwa na show zake na papo hapo imuandalie show Jide na ifane...lazima tujiulize....
Kiba anafikira za kitoto sana na kiburi ndio tatizo na anafikiri akiandaa show mlimani city atakuwa ame muiga diamond na hilo ndio tatizo!
Ujio wa Jide kwenye management yake umeonesha wazi kuna tatizo kubwa kwa Alikiba!
Alikiba ukimuuliza mara ya mwisho kupiga show ya uhakika hana uwezo wa kujibu.
Alikiba ni tatizo!
Kiba na Jide wanasimamiwa na Seven na sasa Jide anaendelea na tour sasa jiulize utaelewa nani ni tatizo!Kipindi fulani alikuwa na tour aliyoipa jina cheketour baada ya kutoa nyimbo ya chekecha cheketua, shoo alikuwa anaisimamia musa hussein wa leo tena na alisema angezunguka mikoa mingi. Ila mwisho wa siku alipiga shoo moshi na arusha, sasa huwezi jua labda tatizo management, Seven au kiba mwenyewe, inasikitisha msanii kama kiba ana miezi sita hajapiga show. Ila huwezi jua safari hii kajipangaje.
natamani ufungue Management yako ,uwanyooshe ,hahahahaahahahaAAAH WAPI! ANIAJIRI MIE TU NIMNYOOSHE SALLAM! LOL!
Ally ukariakoo mwingii ,ni kama mwinyi fulani hvKiba na Jide wanasimamiwa na Seven na sasa Jide anaendelea na tour sasa jiulize utaelewa nani ni tatizo!
Kuna watu wamemshika masikio Kiba na ndio maana hatoweza kuchukua kila ushauri wa SEVEN
Kiba na Jide wanasimamiwa na Seven na sasa Jide anaendelea na tour sasa jiulize utaelewa nani ni tatizo!
Kuna watu wamemshika masikio Kiba na ndio maana hatoweza kuchukua kila ushauri wa SEVEN
Uzuri ni kwamba nchi hii watu wanapenda starehe sana yani ukizunguka kila mkoa kupiga show hata akiweka 20000 watu wana jaa maana wanampenda!Hahaha!! Na hili jinamizi la kutaka kujipambanua kuwa yeye ni zaidi ya Diamond litamcost sana.. Mwenzake kuna stages amepitia mpaka kufika alipo sasa yeye hataki kupotia hizo stages coz ataonekana sio babkubwa kama diamond ndio matokeo yake sasa amejijengea kiburi kuwa yeye 'hataki makuu' wakati ndio anadumaa kisanii..
Wewe unadhani Dr Ricky anaweza kuwa kocha au Shaffi Dauda akipewa yeye Uenyekiti wa Simba ataweza? Kuosha mdomo na kutenda ni vitu viwili tofautinatamani ufungue Management yako ,uwanyooshe ,hahahahaahahaha
Yupo Dodoma tarehe 4! Kama management ndio wasimamizi sasa Seven ana kosaje hapo?Mkuu tukumbushane hapa, Jide baada ya hii ya Dar kuna nyingine ame/atafanya? Lini na matangazo yako wapi?
Na hizo tour ni Seven ndo msimamizi?
Hakuna ninachokipinga usiitilie maanani hiyo komenti yangu.Hebu sema unapinga hoja gani kati alizo ziandika?
Yupo Dodoma tarehe 4! Kama management ndio wasimamizi sasa Seven ana kosaje hapo?