Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Sallam alishasemaga Management ya kiba haiko poa.. Hawajui kupush mambo yao, hawajui kuwa aggressive wapate wanachotaka!! Wimbo wa Mwanaungemfikisha mbali sana kiba ila wakambwela.. Pia kiba mwenyewe needs to change his attitude!!
Mimi ninacho jua Alikiba ana shida kuliko management...kama msanii hajakubali kitu ni ngumu management kukifanya!

Alikiba bado ana ushamba wa kutafuta hela jiulize mbona Jide tena wapo management moja anafanya tour kila mkoa na tarehe 4 ni dodoma baada ya Dar?
 
Yap kabisa mkuu!! Inawezekana ni hizi ngonjera za 'uKing' zimemjaa kichwani.. Ndio maana nimesema abadili attitude yake.. Yani anaishi as if ameshatimiza malengo yake yote ya maisha so haitaji kuwork hard anymore!!
 
Nimeelewa point yako ya majungu,fitina na figisu figisu, hivi Michael Jackson alikuwa anafanya show ngapi kwa mwaka?

Labda tu niulize swali dogo, Kiba kusaini mkataba na Sony Hays siyo mafanikio? Au Kiba naye aanze show kama za Twanga Pepeta Mara NNE kila wiki?

Loading........

Alikiba popote ulipo kama una mawazo kama haya hapa Pole kaka.

Wimbo kama Aje ni almasi inayooza ukiwa na akili kama hizi.
 
Yap kabisa mkuu!! Inawezekana ni hizi ngonjera za 'uKing' zimemjaa kichwani.. Ndio maana nimesema abadili attitude yake.. Yani anaishi as if ameshatimiza malengo yake yote ya maisha so haitaji kuwork hard anymore!!
Mtu anatumia cost kubwa kwenda south kupata video wakati show zenyewe hapigi wala haandai bali anategemea matamasha ya Clouds na East Africa radio...

Kiba lazima ana tatizo maana hakuna management inaweza kushindwa kufikiri kuwa kiba anatakiwa kuwa na show zake na papo hapo imuandalie show Jide na ifane...lazima tujiulize....

Kiba anafikira za kitoto sana na kiburi ndio tatizo na anafikiri akiandaa show mlimani city atakuwa ame muiga diamond na hilo ndio tatizo!

Ujio wa Jide kwenye management yake umeonesha wazi kuna tatizo kubwa kwa Alikiba!

Alikiba ukimuuliza mara ya mwisho kupiga show ya uhakika hana uwezo wa kujibu.

Alikiba ni tatizo!
 
Kwa kuwa umeshajieleza hapo juu kuwa ni,MAJUNGU,UMBEA NA FIGISU FIGISU, basi yooooooooooooooote unayoongea kama watu wanajitambua watakuwa wanajua malengo yako ni hayo hapo juu.
Hebu sema unapinga hoja gani kati alizo ziandika?
 
Alikiba popote ulipo kama una mawazo kama haya hapa Pole kaka.

Wimbo kama Aje ni almasi inayooza ukiwa na akili kama hizi.
Sio wa Aje tuu nyimbo zake zote ni Almasi lakini ukitaka kujua kuwa Alikiba ni tatizo angalia hoja za mashabiki zake mtu anauliza eti michael Jacksoni anafanya show ngapi kwa mwaka!

Alikiba alikuwa ana fursa ya kuzunguka kila Mkoa akapiga pesa sio kukaa chumbani na kujii King ....
 
Labda tatizo LA Kiba lipo hapa.[emoji16][emoji16]

1464773383474.jpg
 
Mtu anatumia cost kubwa kwenda south kupata video wakati show zenyewe hapigi wala haandai bali anategemea matamasha ya Clouds na East Africa radio...

Kiba lazima ana tatizo maana hakuna management inaweza kushindwa kufikiri kuwa kiba anatakiwa kuwa na show zake na papo hapo imuandalie show Jide na ifane...lazima tujiulize....

Kiba anafikira za kitoto sana na kiburi ndio tatizo na anafikiri akiandaa show mlimani city atakuwa ame muiga diamond na hilo ndio tatizo!

Ujio wa Jide kwenye management yake umeonesha wazi kuna tatizo kubwa kwa Alikiba!

Alikiba ukimuuliza mara ya mwisho kupiga show ya uhakika hana uwezo wa kujibu.

Alikiba ni tatizo!
Hahaha!! Na hili jinamizi la kutaka kujipambanua kuwa yeye ni zaidi ya Diamond litamcost sana.. Mwenzake kuna stages amepitia mpaka kufika alipo sasa yeye hataki kupotia hizo stages coz ataonekana sio babkubwa kama diamond ndio matokeo yake sasa amejijengea kiburi kuwa yeye 'hataki makuu' wakati ndio anadumaa kisanii..
 
Kipindi fulani alikuwa na tour aliyoipa jina cheketour baada ya kutoa nyimbo ya chekecha cheketua, shoo alikuwa anaisimamia musa hussein wa leo tena na alisema angezunguka mikoa mingi. Ila mwisho wa siku alipiga shoo moshi na arusha, sasa huwezi jua labda tatizo management, Seven au kiba mwenyewe, inasikitisha msanii kama kiba ana miezi sita hajapiga show. Ila huwezi jua safari hii kajipangaje.
Kiba na Jide wanasimamiwa na Seven na sasa Jide anaendelea na tour sasa jiulize utaelewa nani ni tatizo!
Kuna watu wamemshika masikio Kiba na ndio maana hatoweza kuchukua kila ushauri wa SEVEN
 
Mkuu tukumbushane hapa, Jide baada ya hii ya Dar kuna nyingine ame/atafanya? Lini na matangazo yako wapi?

Na hizo tour ni Seven ndo msimamizi?
 
Hahaha!! Na hili jinamizi la kutaka kujipambanua kuwa yeye ni zaidi ya Diamond litamcost sana.. Mwenzake kuna stages amepitia mpaka kufika alipo sasa yeye hataki kupotia hizo stages coz ataonekana sio babkubwa kama diamond ndio matokeo yake sasa amejijengea kiburi kuwa yeye 'hataki makuu' wakati ndio anadumaa kisanii..
Uzuri ni kwamba nchi hii watu wanapenda starehe sana yani ukizunguka kila mkoa kupiga show hata akiweka 20000 watu wana jaa maana wanampenda!

Mimi huyu Dada nitaendelea kumtetea..Alikiba hakuwai kuthibitisha huyu ana tatizo.
Lakini Lady Jaydee anaendelea kuthibitisha kuwa management haina tatizo!
 
Mkuu tukumbushane hapa, Jide baada ya hii ya Dar kuna nyingine ame/atafanya? Lini na matangazo yako wapi?

Na hizo tour ni Seven ndo msimamizi?
Yupo Dodoma tarehe 4! Kama management ndio wasimamizi sasa Seven ana kosaje hapo?
 
Back
Top Bottom