technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema hivi Bora timu ingekuwa inafungwa kwa sababu za kimpira lakini hapana
Ninao ushahidi wa kutosha kwamba Haji manara ndio anahujumu timu ya yanga isipate matokeo
Natoa angalizo endapo Viongozi hawatachukua hatua hiki kirusi kitaishusha daraja hii timu
Naonya Tena manara acha kuhujumu dar yanga Africans na waganga wako hao!!