technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tufungue anaihujumu kivipi?Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema hivi Bora timu ingekuwa inafungwa kwa sababu za kimpira lakini hapana
Ninao ushahidi wa kutosha kwamba Haji manara ndio anahujumu timu ya yanga isipate matokeo
Natoa angalizo endapo Viongozi hawatachukua hatua hiki kirusi kitaishusha daraja hii timu
Naonya Tena manara acha kuhujumu dar yanga Africans na waganga wako hao!!
We jamaa kumbe hauna akili,nilijuaga we mzima, aisee!!!Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema hivi Bora timu ingekuwa inafungwa kwa sababu za kimpira lakini hapana
Ninao ushahidi wa kutosha kwamba Haji manara ndio anahujumu timu ya yanga isipate matokeo
Natoa angalizo endapo Viongozi hawatachukua hatua hiki kirusi kitaishusha daraja hii timu
Naonya Tena manara acha kuhujumu dar yanga Africans na waganga wako hao!!
We tambua tu kuwa ndani ya yanga watu wenye akili ni wawili tu.Siku niliyojua yanga hawana akili ni siku walipomuajiri Manara wakati alishawatukana wote hamna akili
Cha msingi wavurugane amani isiwepo.Wachawi wameanza kugeukana
Anacheza namba ngapi?!Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema hivi Bora timu ingekuwa inafungwa kwa sababu za kimpira lakini hapana
Ninao ushahidi wa kutosha kwamba Haji manara ndio anahujumu timu ya yanga isipate matokeo
Natoa angalizo endapo Viongozi hawatachukua hatua hiki kirusi kitaishusha daraja hii timu
Naonya Tena manara acha kuhujumu dar yanga Africans na waganga wako hao!!
Kwa mind set hizi ndio maana soka la nchi linayumba, manara ndio anapanga team? Anahusika na usajili?Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema hivi Bora timu ingekuwa inafungwa kwa sababu za kimpira lakini hapana
Ninao ushahidi wa kutosha kwamba Haji manara ndio anahujumu timu ya yanga isipate matokeo
Natoa angalizo endapo Viongozi hawatachukua hatua hiki kirusi kitaishusha daraja hii timu
Naonya Tena manara acha kuhujumu dar yanga Africans na waganga wako hao!!
Aondolewe mara ngapi?Manara anafaaa kuondolewa yanga mapema
USSR