Manara acha kuhujumu club ya yanga

Siyo ulozi, Manara alishasema huko utopoloni hamna akili, wenye akili wawili tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


[emoji382][emoji382] Sc
 
Sikuwahi kujua ya kwamba wewe technically linapokuja suala la Simba na Yanga kumbe ni mjinga na mpumbavu!
 
Mi sio Yanga na si mtetezi wa Manara lakin hebu tuweni na aibu kabla ya kuleta imani za kishirikina kwenye mambo ya kisayansi. Mpira ni Sayansi.
Ndo maana Tanzania tulipewa taji katika utafiti wa kuamini mambo ya kijima na ushirikina.
 
Aliingia dakika ya ngapi akichukua nafasi ya mchezaji gani?
 
 
Tatizo sio Manara Haji, tatizo Mzee Magoma mmemdhulumu, mmemdhalilisha sasa pokeeni maumivu.
 
Basi manara ni mkubwa sana kama ana uwezo wa kuihujumu hadi taasisi.
 
Asee hawa wasio na akili muwazuie kutoa maoni hapa jukwaani.

Sababu za kufungwa yanga hadi sasa;
1. Uwanja wa Azam wanahujumiwa ila cha kushangaza wamefungwa kwa Mkapa

2. Kocha Gamondi hafai,amefukuzwa wakaja na kocha mpya na mfumo mpya ambao haujawahi kutokea Tanzania, wamechezea koki wamelowa 2

3. Dube alichezewa hivyo wamemtengeneza na lazima afunge,kweli ameachwa dakika zote lakini wapii!Badala ya kufanya sub mnalazimisha maneno ya hamasa yawe kweli- ujinga sana huu

4. Manara anawachezea mchezo mbab

aya
Sasa kwa nini mlimfukuza Gamondi?
Hivi mna akili kweli nyie?
 
Sina uhakika kama umeenda shule ukaishia japo darasa la 3 tu.

Hivi bado unaamini mambo ya kipuuzi ya kishirikina badala ya kuamini katika uwezo wa timu?

Katika akili ya kawaida usajili uliofanywa wa kina Dube, Chama, Baleke ndiyo uiboreshe timu kweli?

Wachezaji wengi wamesajiliwa kimuhemko tu eti kuikomoa Simba na Azam halafu utegemee maajabu uwanjani?

Manara hana ubavu wa kuihujumu Yanga iwe kishirikina unavyoaamini ama kwa namna yoyote ile bali ni Yanga yenyewe inatapatapa.

Aise watu aina yako ndiyo wenye mchango kiduchu ama kutokuwa kabisa na mchango wowote kwa taifa.
 
Manara anacheza namba ngapi?injinia amesha SEMA kuwa ni mwanachama wa kawaida,Sasa anawahujumu kivipi? Vibara kama nyie mliopangwa na akina kamwe mnavituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…