OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hilo ndio linashangaza anapata wapi hiki courage. Tazama alivyokuwa Simba akitukana na kukejeli Yanga. Vivyo hivyo amekuwa Yanga. Sasa tofauti ni ipi hapo, si ni wale wale tu kasoro jukwaaSasa kwa waraka huo wa Manara nini tofauti yake na yule Makonda aliyekuwa na kiburi kipindi cha hatamu yake.
Makonda anavuna alichokipandaWabongo tuache roho za kimaskini, unajisikia Raha kumnanga mwanadamu mwenzio!? Kisa njaa??
Manara acha ujinga usikariri.......Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanangozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
AWAFUFUE ALIOWAUA NA KUWAPONYA ALIOWAPIGA RISASIHaji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanangozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
Jamaa ni chawa kweli kweli kaamua kujivika mabonuChawa wa GSM yupo kazini.
Sasa makonda asipoambiwa ukweli wake ataambiwa lini?ili liwe funzo kwake wacha asimangwe tu ili wengine wajue cheo ni thamana sio upate cheo ndio utumie kupandia vichwa vya watu.
Na kama wote mmerudi nyuma mnashindwa kumpa makavu mwacheni manara afanye yake
Inawauma nini akimsimanha msimangaji?
Eti wamwache wamwache wa nini? Ataambiwa lini?au kila anaependa kuaribu aharibu tu na siku akitoka aachwe tu aishi kwa raha zake wakati yupo madarakani yeye alijiona mungu mtu
Wachen ashughurikiwe kama alivyowashughurikia wengine
Na mimi NAM MANARA ZAID YA MANARA
Ni mshenzi tu eti yeye ni kati ya watu wanaokula raha na yeye ni mmoja wapo ale sasa hizo raha
Eti anazuia madawa wakati yeye ndo muuzaji mkubwa wa madawa na kutaka awe muuzaji pekee WIVU TU
YAANI WEEE MBWA NDO WAKUAMBIA WATU WAZIMA WAKIANDAMANA UYAWACHAPA VIBOKO?
MJINGA SANA HUYU KIJANA
UNADINDA KICHWA KIMEINAMA CHINI.PUMB %%#&#¥××¥@kabisa
Na wakusimange ndio malipo yako
Eti wauza madawa na wanufaika wa madawa wakati ndio wewe kila kitu
Wadanganye wabongo wasiokuelewa tu.ulinufaika na soko la madawa sasa nufaika na unachokivuna mbwa wewe.
Uzuri tu alishajutia kile kitendo. Huyu wa kolomije hajatubia lolote. Big differenceHilo ndio linashangaza anapata wapi hiki courage. Tazama alivyokuwa Simba akitukana na kukejeli Yanga. Vivyo hivyo amekuwa Yanga. Sasa tofauti ni ipi hapo, si ni wale wale tu kasoro jukwaa
Hivyo vitu tutaendelea agiza kila siku... kwa akili hizi, tutaendelea kuagiza ngano na mafuta ya kula miaka mingi ijayo!
Wewe raia ulipotelea wapi?Kwa hiyo tumeshajivika vyeo vya kuhukumu?... Nadhani busara ni kukaa kimya na kujifunza kwa Makonda.
Tomorrow is unpredictable.
... kwa akili hizi, tutaendelea kuagiza ngano na mafuta ya kula miaka mingi ijayo!
alijutia lini na wapiUzuri tu alishajutia kile kitendo. Huyu wa kolomije hajatubia lolote. Big difference
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Bila kusahau kuagiza nguzo za umeme S/AFRICA... kwa akili hizi, tutaendelea kuagiza ngano na mafuta ya kula miaka mingi ijayo!
Nipo mrembo.... Nimeskia Sasa hivi upo single ndicho kilichonirudisha.Wewe raia ulipotelea wapi?
Na nimeweka ile Avatar unaipendagaNipo mrembo.... Nimeskia Sasa hivi upo single ndicho kilichonirudisha.