Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Sasa kwa waraka huo wa Manara nini tofauti yake na yule Makonda aliyekuwa na kiburi kipindi cha hatamu yake.
Hilo ndio linashangaza anapata wapi hiki courage. Tazama alivyokuwa Simba akitukana na kukejeli Yanga. Vivyo hivyo amekuwa Yanga. Sasa tofauti ni ipi hapo, si ni wale wale tu kasoro jukwaa
 
Kuna kitu tunafundishwa kila mtu kwa nafasi yake, hadhi yake, cheo alichonacho, kama wewe ni boss mahali, kuna kesho, ili linaweza kuwa somo la wote.

"Madaraka wapigania kampuni sio yako
Wala yake ni ya Mzungu Baba wake ehh
Haki zao wana matumizi pia
Dunia tunapita eeh"
 
Hawa woote walikuwa chawa wake, leo wanamgeuka.. usishangae hata chawa wake mwingine Le-Mutuz naye akamgeuka....

Vijana tukipata madaraka tusivimbe vichwa...
 
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.

Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanangozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.

Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.

Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.

Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Manara acha ujinga usikariri.......
Makonda anaweza kurudi kwenye cheo.....
haya maneno yako utayaweka wapi.....
usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
Sasa makonda asipoambiwa ukweli wake ataambiwa lini?ili liwe funzo kwake wacha asimangwe tu ili wengine wajue cheo ni thamana sio upate cheo ndio utumie kupandia vichwa vya watu.
Na kama wote mmerudi nyuma mnashindwa kumpa makavu mwacheni manara afanye yake
Inawauma nini akimsimanha msimangaji?
Eti wamwache wamwache wa nini? Ataambiwa lini?au kila anaependa kuaribu aharibu tu na siku akitoka aachwe tu aishi kwa raha zake wakati yupo madarakani yeye alijiona mungu mtu
Wachen ashughurikiwe kama alivyowashughurikia wengine
Na mimi NAM MANARA ZAID YA MANARA
Ni mshenzi tu eti yeye ni kati ya watu wanaokula raha na yeye ni mmoja wapo ale sasa hizo raha
Eti anazuia madawa wakati yeye ndo muuzaji mkubwa wa madawa na kutaka awe muuzaji pekee WIVU TU
YAANI WEEE MBWA NDO WAKUAMBIA WATU WAZIMA WAKIANDAMANA UYAWACHAPA VIBOKO?
MJINGA SANA HUYU KIJANA
UNADINDA KICHWA KIMEINAMA CHINI.PUMB %%#&#¥××¥@kabisa
Na wakusimange ndio malipo yako
Eti wauza madawa na wanufaika wa madawa wakati ndio wewe kila kitu
Wadanganye wabongo wasiokuelewa tu.ulinufaika na soko la madawa sasa nufaika na unachokivuna mbwa wewe.
 
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.

Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanangozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.

Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.

Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.

Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

AWAFUFUE ALIOWAUA NA KUWAPONYA ALIOWAPIGA RISASI
 
Sasa makonda asipoambiwa ukweli wake ataambiwa lini?ili liwe funzo kwake wacha asimangwe tu ili wengine wajue cheo ni thamana sio upate cheo ndio utumie kupandia vichwa vya watu.
Na kama wote mmerudi nyuma mnashindwa kumpa makavu mwacheni manara afanye yake
Inawauma nini akimsimanha msimangaji?
Eti wamwache wamwache wa nini? Ataambiwa lini?au kila anaependa kuaribu aharibu tu na siku akitoka aachwe tu aishi kwa raha zake wakati yupo madarakani yeye alijiona mungu mtu
Wachen ashughurikiwe kama alivyowashughurikia wengine
Na mimi NAM MANARA ZAID YA MANARA
Ni mshenzi tu eti yeye ni kati ya watu wanaokula raha na yeye ni mmoja wapo ale sasa hizo raha
Eti anazuia madawa wakati yeye ndo muuzaji mkubwa wa madawa na kutaka awe muuzaji pekee WIVU TU
YAANI WEEE MBWA NDO WAKUAMBIA WATU WAZIMA WAKIANDAMANA UYAWACHAPA VIBOKO?
MJINGA SANA HUYU KIJANA
UNADINDA KICHWA KIMEINAMA CHINI.PUMB %%#&#¥××¥@kabisa
Na wakusimange ndio malipo yako
Eti wauza madawa na wanufaika wa madawa wakati ndio wewe kila kitu
Wadanganye wabongo wasiokuelewa tu.ulinufaika na soko la madawa sasa nufaika na unachokivuna mbwa wewe.

halafu ujinga wa wale wazee wa cartel walimuingiza kule ili wamtumie akiwa Rais wa Dar....sasa hana dili tena wamemtupa..

Rafiki yake Kinje na Kanyau na wale jamaa zake wa state wamemtupa sasa...siku hizi hata invitation za SA hakuna tena...akienda siku hizi inabidi ajilipie mpaka na hotel wakati alikuwa akiishi bure pale midlands apartment...hahahaha
 
Hilo ndio linashangaza anapata wapi hiki courage. Tazama alivyokuwa Simba akitukana na kukejeli Yanga. Vivyo hivyo amekuwa Yanga. Sasa tofauti ni ipi hapo, si ni wale wale tu kasoro jukwaa
Uzuri tu alishajutia kile kitendo. Huyu wa kolomije hajatubia lolote. Big difference

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
... kwa akili hizi, tutaendelea kuagiza ngano na mafuta ya kula miaka mingi ijayo!

Taifa la wambeya na majungu....hahahahaha. acha tupige majungu ndio starehe yetu na raha yetu...
 
Back
Top Bottom