Manara awemakini hakuna aijuaye kesho yake hHaji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda...
... sio tu kuagiza bali mashamba yako hapa, then zinapelekwa nje kufanyiwa treatment the zinaagizwa!Bila kusahau kuagiza nguzo za umeme S/AFRICA
muda huu angekuwa anapost huko Insta mashamba yake ya ngano, alizeti, mawese, n.k. na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye kilimo angekuwa wa msaada sana; badala yake amekalia umbea na kundi kubwa litamfuata! Ha ha ha.Hivyo vitu tutaendelea agiza kila siku
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]Na nimeweka ile Avatar unaipendaga
Hatari hawa watu... sio tu kuagiza bali mashamba yako hapa, then zinapelekwa nje kufanyiwa treatment the zinaagizwa!
Ukikuwa wapi sasa muda wote?[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Makonda ashughulikiwe mapema kwa ushenzi alofanya.Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda...
Nadhani ni majukumu tu yamekuwa mengi..... Mapumzikoni ndipo tunapata wasaa wa kujichanganya.Ukikuwa wapi sasa muda wote?
Umbea dilimuda huu angekuwa anapost huko Insta mashamba yake ya ngano, alizeti, mawese, n.k. na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye kilimo angekuwa wa msaada sana; badala yake amekalia umbea na kundi kubwa litamfuata! Ha ha ha.
Msitususe sana aisee.Nadhani ni majukumu tu yamekuwa mengi..... Mapumzikoni ndipo tunapata wasaa wa kujichanganya.
Makonda al8jiona ni zaidi ya binadamu, kwa sababu alikuwa ana uwezo kwa kuteka, kuua na kuwapoteza watu bila ya kuhojiwa na yeyote. Leo anaweza kurushiwa makopo na watoto, ataishia kushtaki mitandaoni. Anafundishwa kuwa cheo hakibadilishi ubinadamu wako.Manara naye kama kibint tu
USSR
Huyu zeruzeru naye ni mjinga tu. Simba ilikushinda ukaenda yanga mara uko azam ushakuwa malaya wa mpira na siasa.Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake