Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda...
Manara awemakini hakuna aijuaye kesho yake h
 
Maneno ya manara
-2djh9n.jpg
 
Hivyo vitu tutaendelea agiza kila siku
muda huu angekuwa anapost huko Insta mashamba yake ya ngano, alizeti, mawese, n.k. na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye kilimo angekuwa wa msaada sana; badala yake amekalia umbea na kundi kubwa litamfuata! Ha ha ha.
 
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda...
Makonda ashughulikiwe mapema kwa ushenzi alofanya.
 
Ndugu yangu Makonda neno MSAMAHA ni muhimu ukishupaza shingo hutobaki salama.
Sintaacha kukuambia kwani unavyozidi kuchelewa wenye TUHUMA watakuwahi na Rubina lakini ukiwawahi kwani umeshawaomba
 
muda huu angekuwa anapost huko Insta mashamba yake ya ngano, alizeti, mawese, n.k. na kuwahamasisha vijana kuingia kwenye kilimo angekuwa wa msaada sana; badala yake amekalia umbea na kundi kubwa litamfuata! Ha ha ha.
Umbea dili
 
Mimi binafsi Makonda Jiwe siwapendi ,ila Kuna kitu niliwahi kuhisi kuhusu Manara siku rafiki yake Jerry Muro alivyoteuliwa kuwa DC kutoka usemaji wa YANGA na hapo hapo Manji akaingia matatizoni, hii Ilinifanya niwaze kuwa DC JERRY MURO kauza Siri za Manji na hivyo nikapata hofu kwa MANARA kuwa msemaji wa SiMBA ,siku MO ametekwa na MANARA kukamatwa nikajua serikali inatuzuga tu kumkamata MaNARA ila serikali imefanikiwa kazi waliyomtuma imefanikiwa .
 
Manara naye kama kibint tu

USSR
Makonda al8jiona ni zaidi ya binadamu, kwa sababu alikuwa ana uwezo kwa kuteka, kuua na kuwapoteza watu bila ya kuhojiwa na yeyote. Leo anaweza kurushiwa makopo na watoto, ataishia kushtaki mitandaoni. Anafundishwa kuwa cheo hakibadilishi ubinadamu wako.
 
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.

Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.

Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.

Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.

Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Huyu zeruzeru naye ni mjinga tu. Simba ilikushinda ukaenda yanga mara uko azam ushakuwa malaya wa mpira na siasa.
 
Manara atulie tu na ajifunze kwa kilichomtokea Makonda kinaweza kumtokea yeye pia...

Kesho na keshokutwa Makonda akapata madaraka tena, Manara atageuka na kubembeleza ushikaji...
 
Back
Top Bottom