Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Msitususe sana aisee.
Hadi tunawasahau.
Shukrani ....nimejihisi kufarijika... don't underestimate what you have just replied to me.

It shows that you care and that's what makes you a human being.

Shukrani.
 
Nchi hii huwa wanapenda sana story za kijinga jinga...... kuendelea ni ngumu sana....maana hizi ndizi story wananchi wake wanapenda kuzisikia
 
Wanafiki huwa wana kumbukumbu [emoji23][emoji23]
Yaani anakumbuka every details
Tunajua anaambiwa aseme nini ila swaumu hana [emoji23][emoji23]
 
Huyu Haji mbona kama bwabwa hivi. Sasa hivi anapangusa matako ya boss wake GSM wa yanga, njaa mbaya sana
 
Shukrani ....nimejihisi kufarijika... don't underestimate what you have just replied to me.

It shows that you care and that's what makes you a human being.

Shukrani.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nikawa najiuliza yule kaka mzuri mzuri ameenda wapi jamani.

Aksante umerudi.
 
Ni bora kukaa kimya hii dunia inazunguka kesho na kesho kutwa Malinda kateuliwa.....
 
Yaani kwa posts hizi dhidi ya Makonda, nimeamini kweli Paul Christian Makonda ni MWAMBA hasa! Hakuna cha kujadili bajeti, wala uzinduzi anaofanya Mama wa SGR ya JPM, wala upandaji wa being wa mafuta. Ni Makonda tu! Kweli wewe ni MWAMBA!
 
kuna muda ni busara kunyamaza,
 
Pretoria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…