Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Duh kaka haji alimaliza maneno yote maskini
 
Hahahaa ..

Ngoja tuone..🤣🤣🤣

Siasa sio poa..tuwage na akiba.
 
Manara hakuweka akiba ya maneno. Sasa JiiEsiEmu hawamtaki tena na huku kwingine kote ameshanyea kambi
 
Maneno kuntu!.
P
 
Pale msemo wa uwe na akiba ya maneno unapotimia sasa😄
 
Kwa asivyo na aibu atakwenda kupiga naye picha na kuandika gazeti refu kwamba wametoka mbali sana.
Jamaa hanaga aibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…