kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Huyu bibie alipona kweli kwa magufuli kwelitulipitia mengi asee
View attachment 2184756
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bibie alipona kweli kwa magufuli kwelitulipitia mengi asee
View attachment 2184756
Wewe si umesoma sasa hivi baada ya screenshot kuwekwa?Soma uelewe kasema alimkatalia
Duh kaka haji alimaliza maneno yote maskiniHaji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
Hahahaha Manara mdomo umempa maisha na mdomo huo huo unamponza 😂😂😂😂Duh kaka haji alimaliza maneno yote maskini
Hahahaa ..Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
Manara hakuweka akiba ya maneno. Sasa JiiEsiEmu hawamtaki tena na huku kwingine kote ameshanyea kambiHaji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
Yeah man Tomorrow is totally unpredictable.Kwa hiyo tumeshajivika vyeo vya kuhukumu?... Nadhani busara ni kukaa kimya na kujifunza kwa Makonda.
Tomorrow is unpredictable.
Hana meno hawezi fanya kitu, muda wa jeuri ulishapita.Yeah man Tomorrow is totally unpredictable.
Msela karudi tena uongozini.
Ngoja tuone ataanzaje tena kujisogeza!
Manara yupo sahihiNgoja tuone ataanzaje tena kujisogeza!
Naunga mkono hoja, live well for today, tomorrow is very unpredictable!, kuna ushauri wa be good to people on your way up, you might meet them on your way down!.Kwa hiyo tumeshajivika vyeo vya kuhukumu?... Nadhani busara ni kukaa kimya na kujifunza kwa Makonda.
Tomorrow is unpredictable.
Maneno kuntu!.Manara hajatumia hekima! Siku zote ni vizuri kuacha akiba ya maneno! Watu husema hujafa hujaumbika!! Huwezi kujua ya kesho!! Na huwezi kujua unawakera wangapi ambao Makonda ana connection Nao!! Huwezi kujua kesho Makonda atakuwa nani kwenye Nchi hii! Manara asidhani kuwa hapo kwa GSM ndo kafika na atafia hapo!! Busara inataka ustaarabu na diplomasia!! Kikwete ni mfano mzuri wa ustaarabu na Diplomasia!! Alikuwa anatukanwa akiwa madarakani, aliitwa dhaifu wakati ni jemadari mkuu wa majeshi yetu yote!! Manara jifunze kwa Kikwete!! Vinginevyo usike ukaja hapa siku moja ukiwa unalia na kutafuta huruma za watu mitandaoni!! Mwombe radhi Makonda!!
Haji hana chembe ya aibuNgoja tuone ataanzaje tena kujisogeza!