Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mnasajiri ndugu zangu safi sana mtani sasa timu unayo na kocha unayeAisee!! Hapa tusubiri tuone nani atakwenda na maji japo % kubwa zinaangukia kwa Manara.
Hahahaa!! Tumeamua timu yetu tujaze Wacongo tu sasa.
Mkuu naomba utoe neno "Professional" sema manara ni mpiga debe mzr..neno professional kwa Haji sio mahara pake.Ingawa sishabikii simba ...........ila MANARA ni bonge la professional ambaye ana Influence kubwa kwa simba
Labda kiwandaniManara anahamia Azam
Mi nishasema hamna wa kumfukuza.Mchana upi unasemea?Huyu haifiki mchana keshafurushwa mnaomshobokea kanyweni nae kahawa nyumbani kwake
Mkuu ili ujue simba ndio inamuhitaji zaidi manara ngoja uone uongozi utakavyolichukulia
Ingawa sishabikii simba ...........ila MANARA ni bonge la professional ambaye ana Influence kubwa kwa simba
UtashangaaHakuna mwenye jeuri ya kumfukuza Haji.