Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mechi na Yanga ni ngumu eeh?Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti
Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha mgogoro na Babla tena kwa kuitangazia Dunia. Amesahau kwamba yote anayofanya GSM, Azam, Asas ni kwa sababu ya Brand ya Simba. Anajaribu kujionyesha yeye ni mkubwa Kuliko club na kwamba timu ameikuta. Viongozi hebu timueni huyu Shetwani
Serious mkuulaki 7
Sasa yanga wanaondokaje mstarini hapo kwa mfano?Du labda iwe mind game kuwapoteza utopolo katika mechi lakini kama ni kweli Manara amekosea sana.
Hili suala lilitakiwa lishughulikiwe ndani ya uongozi wa SSC katika maongezi yake hakuna sehemu yoyote aliyosema kuwa alitoa malalamiko ktk uongozi na hayakufanyiwa kazi.
Babra ni CEO wa Club cheo kikubwa sana na kumtolea maneno kama hayo mtandaoni ni kumdhalilisha yeye na kuchafua brand ya SSC kuonekana kuwa watendaji wake hawafuati taratibu maalum za kutatua tofauti zao.
Kosa la active insurbodination katika kampuni ni kufukuzwa kazi na kupoteza haki zako zote sasa sijui Manara hakulijua hilo.
Manara mwenendo wa matendo yake umekuwa sio mzuri amekuwa akitoa maneno ya kashfa nyingi sana ambayo ni makosa na SSC imechafuka kama kampuni ingawa kuna wanachama wengine wanaona kuwa anafanya vizuri kimakosa kwa kutokuelewa sheria.
Imefika wakati SSC iweke professionals awa watu kama akina Manara wasiwe waajiri wa SSC wawe ni watu wa amsha amsha kama mzee Mpili ili kutokuinganisha SSC na matamko yao ya uvunjifu wa sheria.
Hamna mind game kama hii duniani haipo,labda kama imeanzia kwenu huku Tz. Manara kulizungumzia hili si mara ya kwanza leo hii ni mara ya pili ,hapo kaivua nguo club mambo kama haya yana zungumzika, ila yeye ana mihemko labda sijui inawezekana anatafuta huruma ya mashabiki.Du labda iwe mind game kuwapoteza utopolo katika mechi lakini kama ni kweli Manara amekosea sana.
Hili suala lilitakiwa lishughulikiwe ndani ya uongozi wa SSC katika maongezi yake hakuna sehemu yoyote aliyosema kuwa alitoa malalamiko ktk uongozi na hayakufanyiwa kazi.
Babra ni CEO wa Club cheo kikubwa sana na kumtolea maneno kama hayo mtandaoni ni kumdhalilisha yeye na kuchafua brand ya SSC kuonekana kuwa watendaji wake hawafuati taratibu maalum za kutatua tofauti zao.
Kosa la active insurbodination katika kampuni ni kufukuzwa kazi na kupoteza haki zako zote sasa sijui Manara hakulijua hilo.
Manara mwenendo wa matendo yake umekuwa sio mzuri amekuwa akitoa maneno ya kashfa nyingi sana ambayo ni makosa na SSC imechafuka kama kampuni ingawa kuna wanachama wengine wanaona kuwa anafanya vizuri kimakosa kwa kutokuelewa sheria.
Imefika wakati SSC iweke professionals awa watu kama akina Manara wasiwe waajiri wa SSC wawe ni watu wa amsha amsha kama mzee Mpili ili kutokuinganisha SSC na matamko yao ya uvunjifu wa sheria.
Yeye anaihitaji zaidi Simba, kuliko Simba kumuhitaji yeye!Hata akiondoka hatatuathiri
Mkuu ili ujue simba ndio inamuhitaji zaidi manara ngoja uone uongozi utakavyolichukuliaYeye anaihitaji zaidi Simba, kuliko Simba kumuhitaji yeye!
Shadeeya Toto la arachugaNilale wapi Mkuu nipo tu nasoma kisha nasema hihihihiii.
HahahahaNilale wapi Mkuu nipo tu nasoma kisha nasema hihihihiii.
Hahahaha mpira wa Tanzania bana vurugu vurugu tuNilale wapi Mkuu nipo tu nasoma kisha nasema hihihihiii.
uswahili umemzidi sana hadi maswala ya ofisi anayapeleka kama maswala ya kijiweni.Yani ana guts huyu jamaa za kuongea na kurekodi vitu vinavyoweza muweka matatani
Acha tu best yaani huwa ni kupokezana tu.Hahahaha
Hahahaha mpira wa Tanzania bana vurugu vurugu tu
Hahahaha ila Barbara kitambo tu hamtaki hajiAcha tu best yaani huwa ni kupokezana tu.
Leo kikiwaka huku ujue kule kimezimika. 😀
Aisee!! Hapa tusubiri tuone nani atakwenda na maji japo % kubwa zinaangukia kwa Manara.Hahahaha ila Barbara kitambo tu hamtaki haji
OK naona usajiri MNA kazadi na mayele from as vita