Manara afukuzwe Simba, anajua tuna mechi ngumu na Yanga yeye anaanzisha mgogoro na Barbara

Kweli kabisa hivi lengo lako ni nini ikiwa kuna match muhimu jpili,huyu jamaa anajiona ni kila kitu na hatakiwi kuguswa sasa wasipomfukuza tutashangaa yeye anadhani porojo zinasaidia timu?sio sahihi yeye anamiaka takribani 6 simba je hapo kabla simba haikuwa inafanya vizuri,timu ni mfumo na taratibu hizo zingine ni mbwembwe tu.
 
Du labda iwe mind game kuwapoteza utopolo katika mechi lakini kama ni kweli Manara amekosea sana.

Hili suala lilitakiwa lishughulikiwe ndani ya uongozi wa SSC katika maongezi yake hakuna sehemu yoyote aliyosema kuwa alitoa malalamiko ktk uongozi na hayakufanyiwa kazi.

Babra ni CEO wa Club cheo kikubwa sana na kumtolea maneno kama hayo mtandaoni ni kumdhalilisha yeye na kuchafua brand ya SSC kuonekana kuwa watendaji wake hawafuati taratibu maalum za kutatua tofauti zao.

Kosa la active insurbodination katika kampuni ni kufukuzwa kazi na kupoteza haki zako zote sasa sijui Manara hakulijua hilo.

Manara mwenendo wa matendo yake umekuwa sio mzuri amekuwa akitoa maneno ya kashfa nyingi sana ambayo ni makosa na SSC imechafuka kama kampuni ingawa kuna wanachama wengine wanaona kuwa anafanya vizuri kimakosa kwa kutokuelewa sheria.

Imefika wakati SSC iweke professionals awa watu kama akina Manara wasiwe waajiri wa SSC wawe ni watu wa amsha amsha kama mzee Mpili ili kutokuinganisha SSC na matamko yao ya uvunjifu wa sheria.
 
Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti

Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha mgogoro na Babla tena kwa kuitangazia Dunia. Amesahau kwamba yote anayofanya GSM, Azam, Asas ni kwa sababu ya Brand ya Simba. Anajaribu kujionyesha yeye ni mkubwa Kuliko club na kwamba timu ameikuta. Viongozi hebu timueni huyu Shetwani
Kumbe mechi na Yanga ni ngumu eeh?
 
Du labda iwe mind game kuwapoteza utopolo katika mechi lakini kama ni kweli Manara amekosea sana.

Hili suala lilitakiwa lishughulikiwe ndani ya uongozi wa SSC katika maongezi yake hakuna sehemu yoyote aliyosema kuwa alitoa malalamiko ktk uongozi na hayakufanyiwa kazi.

Babra ni CEO wa Club cheo kikubwa sana na kumtolea maneno kama hayo mtandaoni ni kumdhalilisha yeye na kuchafua brand ya SSC kuonekana kuwa watendaji wake hawafuati taratibu maalum za kutatua tofauti zao.

Kosa la active insurbodination katika kampuni ni kufukuzwa kazi na kupoteza haki zako zote sasa sijui Manara hakulijua hilo.

Manara mwenendo wa matendo yake umekuwa sio mzuri amekuwa akitoa maneno ya kashfa nyingi sana ambayo ni makosa na SSC imechafuka kama kampuni ingawa kuna wanachama wengine wanaona kuwa anafanya vizuri kimakosa kwa kutokuelewa sheria.

Imefika wakati SSC iweke professionals awa watu kama akina Manara wasiwe waajiri wa SSC wawe ni watu wa amsha amsha kama mzee Mpili ili kutokuinganisha SSC na matamko yao ya uvunjifu wa sheria.
Sasa yanga wanaondokaje mstarini hapo kwa mfano?
Mbona ameivua nguo simba na sioni angle ya yanga kuathirika.?
Ukitaka kuamini subiri huyu hata kigoma haendi
 
Du labda iwe mind game kuwapoteza utopolo katika mechi lakini kama ni kweli Manara amekosea sana.

Hili suala lilitakiwa lishughulikiwe ndani ya uongozi wa SSC katika maongezi yake hakuna sehemu yoyote aliyosema kuwa alitoa malalamiko ktk uongozi na hayakufanyiwa kazi.

Babra ni CEO wa Club cheo kikubwa sana na kumtolea maneno kama hayo mtandaoni ni kumdhalilisha yeye na kuchafua brand ya SSC kuonekana kuwa watendaji wake hawafuati taratibu maalum za kutatua tofauti zao.

Kosa la active insurbodination katika kampuni ni kufukuzwa kazi na kupoteza haki zako zote sasa sijui Manara hakulijua hilo.

Manara mwenendo wa matendo yake umekuwa sio mzuri amekuwa akitoa maneno ya kashfa nyingi sana ambayo ni makosa na SSC imechafuka kama kampuni ingawa kuna wanachama wengine wanaona kuwa anafanya vizuri kimakosa kwa kutokuelewa sheria.

Imefika wakati SSC iweke professionals awa watu kama akina Manara wasiwe waajiri wa SSC wawe ni watu wa amsha amsha kama mzee Mpili ili kutokuinganisha SSC na matamko yao ya uvunjifu wa sheria.
Hamna mind game kama hii duniani haipo,labda kama imeanzia kwenu huku Tz. Manara kulizungumzia hili si mara ya kwanza leo hii ni mara ya pili ,hapo kaivua nguo club mambo kama haya yana zungumzika, ila yeye ana mihemko labda sijui inawezekana anatafuta huruma ya mashabiki.
 
Mi huwa namuona kama chizi ambae simba wamekubali kumtumia...anajiona mkubwa kuliko simba..aliwahi kisema simba sio baba wala mama yake
 
Katika watu walioifanya Simba na Tanzania ijulikane kimataifa na huyu dada Babra,mwanzoni nilimchukulia poa ila ananyambulika katika kila idara, huyu mishen town labanwa kila idara pesa za bwerere anakosa sasa anaanzisha chokochoko huko mkiani united
 
Back
Top Bottom