Manara afukuzwe Simba, anajua tuna mechi ngumu na Yanga yeye anaanzisha mgogoro na Barbara

Hahaja
Aisee!! Hapa tusubiri tuone nani atakwenda na maji japo % kubwa zinaangukia kwa Manara.

Hahahaa!! Tumeamua timu yetu tujaze Wacongo tu sasa.
Hahahaha mnasajiri ndugu zangu safi sana mtani sasa timu unayo na kocha unaye

Hao waachieni timu ya familia ile manara lzm ang'oke
 
Haya yote wameyataka Hawa viongoz tena wakiongozwa na MO kumlea Sana Yule takadini anazalilisha Watu wazima wanamuacha tu aliita waandishi taka taka Juz amemzalilisha Prisca kishamba wa clouds anatoa wapi huo ukubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…