ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Una hasara gani wewe wakifungiwa viongozi wetu? si ndio mfurahi vipigo vipungueYanga muendekezeni tu huyo zeru zeru likiwakuta la kuwakuta mwenzenu anaenda kuchekea chooni.
Una hasara gani wewe wakifungiwa viongozi wetu? si ndio mfurahi vipigo vipungueYanga muendekezeni tu huyo zeru zeru likiwakuta la kuwakuta mwenzenu anaenda kuchekea chooni.
Manara hajifunzi? Atapigwa BAN tena.Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa.
Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa
Video: Bongo5
Acha ushamba wewe, mbona zidane ametoka kwao Algeria akaenda kuwapa furaha ufaransa, lamine yamal kwao Morocco, lkn leo anawapa furaha Barcelona na waspaniola kwa ujumlaKinachokera mtu ametoka zake Kismayo huko na tumbo lake, halafu anakuja kutuletea jeuri zake za kishamba.
Bila kumsahau Mbappe kwao Cameroon ila anawapa furaha wafaransa na kwa sasa wahispaniaAcha ushamba wewe, mbona zidane ametoka kwao Algeria akaenda kuwapa furaha ufaransa, lamine yamal kwao Morocco, lkn leo anawapa furaha Barcelona na waspaniola kwa ujumla
Hili suala litaondoka na watu wengi tofauti na watu wanavyolichukulia,,uyu karia ni Rais wa tff lakini anatoa matamshi kuwakingia kifua bodi ya ligi waonekane awajafanya kosa ni kukosa uweledi kabisa,,kwani Kuna asiyejua kwamba bodi wamefanya blunder? Kwanini aegemee upande?Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa.
Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa
Video: Bongo5
Unaamanisha Hersi au Karia? Unaweza kujenga hoja bila ubaguziKinachokera mtu ametoka zake Kismayo huko na tumbo lake, halafu anakuja kutuletea jeuri zake za kishamba.
Sasa wewe kutoka huko kwenu Kismayo umeleta nini huku kwetu zaidi ya tumbo tu kubwa, na jeuri?Acha ushamba wewe, mbona zidane ametoka kwao Algeria akaenda kuwapa furaha ufaransa, lamine yamal kwao Morocco, lkn leo anawapa furaha Barcelona na waspaniola kwa ujumla
Povu hiloUna hasara gani wewe wakifungiwa viongozi wetu? si ndio mfurahi vipigo vipungue
Acha uongo Zidane kazaliwa France na lamine kazaliwa BarcelonaAcha ushamba wewe, mbona zidane ametoka kwao Algeria akaenda kuwapa furaha ufaransa, lamine yamal kwao Morocco, lkn leo anawapa furaha Barcelona na waspaniola kwa ujumla
Hana akili huyo, anataka kuitumia taasisi yetu pendwa kwa vita vyake binafsi na Karia. Ni mtu wa hovyo. Yanga inajua namna ya kijisimamia yenyewe.Manara kuna saa akili zimo za kutosha
Mkianza kujiheshimu nanyi mtaheshimiwa. Mkiendelea na tabia ya kutaka kudhalilisha watu nanyi mtaendelea kudhalilishwa. Ningekwambia hii ni kanuni ya maisha ila hampendi kuheshimu kanuni.Kauli alizotoa Wallec Karia hakuna jamii yoyote iliyo staharabuka ukaongea na kuendelea kubaki madarakani.
Mfano uongee vile pale England
Utapigwa mishale kutokea tahasisi mbalimbali ata zisizo husika na mpira.
Yaani anaongea kama anaongea na wanafunzi wa secondary au shule ya Msingi.
Bila kumsahau Eng.Hersi katoka Somalia sasa hivi anawapa raha wanayangaBila kumsahau Mbappe kwao Cameroon ila anawapa furaha wafaransa na kwa sasa wahispania