Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,773
- 3,527
Litaondoka na watu wengi wa Yanga wala sio wa TFF na Bodi ya ligiHili suala litaondoka na watu wengi tofauti na watu wanavyolichukulia,,uyu karia ni Rais wa tff lakini anatoa matamshi kuwakingia kifua bodi ya ligi waonekane awajafanya kosa ni kukosa uweledi kabisa,,kwani Kuna asiyejua kwamba bodi wamefanya blunder? Kwanini aegemee upande?