Litaondoka na watu wengi wa Yanga wala sio wa TFF na Bodi ya ligiHili suala litaondoka na watu wengi tofauti na watu wanavyolichukulia,,uyu karia ni Rais wa tff lakini anatoa matamshi kuwakingia kifua bodi ya ligi waonekane awajafanya kosa ni kukosa uweledi kabisa,,kwani Kuna asiyejua kwamba bodi wamefanya blunder? Kwanini aegemee upande?
Hakuna kauli mbaya pale zote zimejaa ukweli. Mnaleta maigizo mkacheze sinema, mpira hauhitaji maigizo.Kauli alizotoa Wallec Karia hakuna jamii yoyote iliyo staharabuka ukaongea na kuendelea kubaki madarakani.
Mfano uongee vile pale England
Utapigwa mishale kutokea tahasisi mbalimbali ata zisizo husika na mpira.
Yaani anaongea kama anaongea na wanafunzi wa secondary au shule ya Msingi.
Wewe ndio kichaa kabisa na wazimu, umemsikia karia au unaropoka pombe kali tuHuyu Wazimu Wa Swaumu umempanda kichwani.
Ngoja tuone si tupo hapaLitaondoka na watu wengi wa Yanga wala sio wa TFF na Bodi ya ligi
Si ndio hapo sasa, tena tumeenda mbali wakati mfano wanao humo humo kwenye klabu yao, kabla ya kumshutumu Karia waanze na Hersi kwanzaBila kumsahau Eng.Hersi katoka Somalia sasa hivi anawapa raha wanayanga
Zinazotupeleka kule ninjaa zetu mbona hakuna wazungu wanaokuja huku kutupa furaha dimbaniBila kumsahau Mbappe kwao Cameroon ila anawapa furaha wafaransa na kwa sasa wahispania
Na sisi Watanzania kwa kuwapa nafasi wageni, hatujambo! Tuna ma rais wawili watokao KISMAYO. Mmoja, tumeambiwa kuwa, ni mwigizaji wa movie kali kabisa!
Mwisho wa karia hauwez letea na yanga mzee baba, kwa mifumo ya hii nchi ilivyo, kiongozi ni mfalme, na wananchi ni watumwa hamna kitu kitafanyikaMwisho wa Karia unakaribia.
Ulibebwa wakati wa Magufuli, hautabebwa Tena Sasa hivi, utafungasha virago!
Hersi ametokea Mogadishu, uvivu wa kutoka meli Tu 😂Kinachokera mtu ametoka zake Kismayo huko na tumbo lake, halafu anakuja kutuletea jeuri zake za kishamba.
Bado haiwezi kuubadili ukweli kumhusu Msomali wenu Wallace Karia, na dharau zake kwa Watanzania.Hersi ametokea Mogadishu, uvivu wa kutoka meli Tu 😂
Hersi aliposema unatoka kula mihogo huko alikuwa anawapongeza watanzania? Kweli wenye akili wawiliBado haiwezi kuubadili ukweli kumhusu Msomali wenu Wallace Karia, na dharau zake kwa Watanzania.
Kwani mihogo ina shida gani! Mimi mbona mtu akiweka maandazi, chapati, keki, vitumbua, nk na mihogo; bado nitachagua mihogo!Hersi aliposema unatoka kula mihogo huko alikuwa anawapongeza watanzania? Kweli wenye akili wawili
Haha kama vile umeme kuuzwa kwa sh50 ghafla imeyeyuka pruuu hadi kwa wahabesh,bongo bongoyo.Kauli alizotoa Wallec Karia hakuna jamii yoyote iliyo staharabuka ukaongea na kuendelea kubaki madarakani.
Mfano uongee vile pale England
Utapigwa mishale kutokea tahasisi mbalimbali ata zisizo husika na mpira.
Yaani anaongea kama anaongea na wanafunzi wa secondary au shule ya Msingi.
Pombe Kali anazoninywesha mama yako. Mmeshajibiwa na bodi ya ligi kwamba hakuna vya bure bure Mechi itarudiwa soon. Sasa huyo albino wenu mbona anawashwawashwa?! Tumtumie ule mgoli wa Mukwala Liwakune KunakoWewe ndio kichaa kabisa na wazimu, umemsikia karia au unaropoka pombe kali tu
Basi endelea kushona cherehaniNmehitimu VETA mwaka juzi