Manara apigwa chini CCM kwa utapeli wa magari

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbeee
 
Ccm mchukueni manara aungane na kibajaji kupiga domo
 
Manara aliyechaguliwa kushika wadhifa huo miaka miwili iliyopita, amekumbwa na kashfa ya kukodisha magari kwa watu mbalimbali yanayofikia 40, na kuyaweka rehani kwa watu mbalimbali Dar es Salaam na mikoa mingine nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…