Manara apigwa chini CCM kwa utapeli wa magari

Manara ni mjanja mmoja tu, kuna kipindi alikuwa na kesi ma mwarabu mmoja hivi kamtapeli zile perfume zake alizokuwa anauza, bila shaka habari yake ilifika humu.

Nadhani ilikuwa kama milioni 200 hivi,walikubaliana mzigo uuzwe kwa jina la manara mwamba akauza na pesa akafinyia kwa ndani.
 
alitapeli milioni 36 za pafyumu
 
Huyu manara alishawahi kuwa punda wa kuuza sembe huko South Africa. Huyu kijana ni tapeli,punda n.k
 
Kwa hii CV yake bado mnawalaumu Simba kumpumzisha kazi?
 
Alimdhulumu yule mwarabu kupitia bashite,walimchimba mkwara akasepa
 
Mkuu KOMA naludia KOMA usitake niweke mambo yako hadhalani. we nani we nani I swear tutaona
 
Hoja ziko pale pale uwekezaji wa kitapeli unaofanywa na Mo a.k.a Hindi janja janja kwa Simba .Tunataka mjibu hoja alizotoa Manara hayo mengine hayatuhusu mnajifanya mnaleta stori zingine kuzima mjadala . Amesema na bado atasema zaidi ya hayo na kaa ukijua Kuna kundi kubwa nyuma ya Manara kadiri muda utakavyokuwa unasogea watajitokeza wazi wazi mjadala ukianzia kwenye hoja za Manara na siku zote utapeli haudumu ni suala la muda Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…