Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

Yanga ilishinda 5 dhidi ya simba wakati huo Manala kafumgiwa
Anachofanya kocha wa yanga kwa saaa ni kujaribu muumganiko wa wachezaji ili kupata combination nzuri.
Imgawa anayo combination moja matata maalum kwa mechi muhimi
 
Kuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.
Kumbe mnaamini ushirikina....
Kweli ubaya ubwela
 
Manara ndio ameshikilia ushindi wa Yanga, japo Yanga inashinda ila inapata tabu sana kupata magoli, jaribu kuangalia mechi zao ndio utaona hii kitu, wanam dominate mpinzani, wana create chances lakin kufunga ndo shughuli
Duh!...
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.
Nasikia amewapa deadline yanga wasipo mrudisha anatoa madudu yake wapambane na hali zao.
Atayapeleka ken gold eti.
 
mawazo mgando, yalikuwepo kwenye club, hadi zilipobadili muundo na mambo yanaenda.... Enzi hizo zilipita na hazitarudi
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.

We ndo mke wake mpya? Wanawake mkipenda mnapenda hasa.
 
Tarehe 19 ndio mtajua Yanga hutumia uwezo kushinda au majini...

No maduka no majini no Yanga.
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.
mwarabu feki na mawazo feki
 
Back
Top Bottom