Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

Yanga hamueleweki mnataka nini aisee.
 
Yanga ilishinda 5 dhidi ya simba wakati huo Manala kafumgiwa
Anachofanya kocha wa yanga kwa saaa ni kujaribu muumganiko wa wachezaji ili kupata combination nzuri.
Imgawa anayo combination moja matata maalum kwa mechi muhimi
 
Kumbe mnaamini ushirikina....
Kweli ubaya ubwela
 
Manara ndio ameshikilia ushindi wa Yanga, japo Yanga inashinda ila inapata tabu sana kupata magoli, jaribu kuangalia mechi zao ndio utaona hii kitu, wanam dominate mpinzani, wana create chances lakin kufunga ndo shughuli
Duh!...
 
Nasikia amewapa deadline yanga wasipo mrudisha anatoa madudu yake wapambane na hali zao.
Atayapeleka ken gold eti.
 
mawazo mgando, yalikuwepo kwenye club, hadi zilipobadili muundo na mambo yanaenda.... Enzi hizo zilipita na hazitarudi
 

We ndo mke wake mpya? Wanawake mkipenda mnapenda hasa.
 
Tarehe 19 ndio mtajua Yanga hutumia uwezo kushinda au majini...

No maduka no majini no Yanga.
 
mwarabu feki na mawazo feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…