Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Ndiyo maana ya utani wa jadi lazima atengeneze tukio ili mtani wake akereke hapo anakuwa mshindi.Jamaa ana penda sifa sana yaani mpaka anakela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana ya utani wa jadi lazima atengeneze tukio ili mtani wake akereke hapo anakuwa mshindi.Jamaa ana penda sifa sana yaani mpaka anakela
Wewe sasa kwa sehemu yako umemjibu manara hoja yake.Alikuwa anaitwa asaini mkataba akawa anarukaruka tu, yeye mwenyewe aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miezi 6 bila mkataba?
Moja ya stahiki ambazo akupewa ni mkataba.Manara anasema hajawahi kulipwa au hajawahi pewa mkataba?
Halafu DEKO zingine anazotusimulia anazozifanya, haoni hata aibu. Eti yeye, hajui kupika chochote zaidi ya chai ya rangi, hajui kufua hata chupi zake anafuliwa, hajui hata kuwasha TV!Tatizo ni kwamba,Manara alidekezwa sana na timu ya Simba.Sasa anataka kuendelea kudeka hata wakati huu hayupo Simba S.C.Amevimbiwa deko huyo!
Sasa hapo kuna mtu kweli au ni kiumbe kimeweka pozi?😝😝😝😝😝Halafu DEKO zingine anazotusimulia anazozifanya, haoni hata aibu. Eti yeye, hajui kupika chochote zaidi ya chai ya rangi, hajui kufua hata chupi zake anafuliwa, hajui hata kuwasha TV!
Aligoma kuujaza mkataba.Moja ya stahiki ambazo akupewa ni mkataba.
Halafu hata kukimbiwa (kwenda kwao) na Mke wake, kwa mujibu wa maelezo yake, anaona kama kuna mkono kutoka SIMBA S.C. Na anadai kuna watu wanalipwa huko kwa ajili ya kumuangusha. Pia, viongozi wote wa Simba, wanasifiwa kwa kutomjibu chochote, hao viongozi wanajua WAKIINUA TU MIDOMO YAO kumuongelea yeye atawalipua,na HAWATAMSAHAU!Jana niliona jamaa dishi
Yaani anasahau kua simba imemfanya afike alipoHalafu hata kukimbiwa (kwenda kwao) na Mke wake, kwa mujibu wa maelezo yake, anaona kama kuna mkono kutoka SIMBA S.C. Na anadai kuna watu wanalipwa huko kwa ajili ya kumuangusha. Pia, viongozi wote wa Simba, wanasifiwa kwa kutomjibu chochote, hao viongozi wanajua WAKIINUA TU MIDOMO YAO kumuongelea yeye atawalipua,na HAWATAMSAHAU!
Hata hivyo, BILA KUJUA, ameisifia Simba kwa kumpa umaarufu, fedha, kutembea sehemu mbali mbali, kiasi kwamba MADEMU KIBAO walikuwa wanajileta kwake!
in analeta janja anasahau kuwa ashaachwaKama alihiari kufanya kazi bila mkataba, sasa ataishtaki vipi Simba ?
Hapo inamaanisha alikuwa anajitolea tu.
Huko mahakamani atapeleka documenti zipi ili afungue mashtaka ?
Na kuna siku alisema alikuwa analipwa pesa kidogo, huo ndio ulikuwa ujira wake.
Ujira wa kuwa Kibarua na Mahakama itaridhia malipo hayo kuwa ni halari.
Huyo anataka kutusahaulisha habari zake za NDOA. tu
Ndoa aliyowaingiza chaka hadi Wastaafu wetu kwa kuwachangisha mamilioni ya pesa huku akijua fika hana nguvu za kuidumisha NDOA.
Mrudishe kwanza mkeo tuone kama una akili timamu.
Unamwachaje mtoto mzuri kama yule na kwa heshima uliyopewa na watu wanaoheshimika sana nchi hii pamoja na familia yako na ya wakwe zako ?
Unawatazamaje hao uliowachangisha, ndugu na jamaa zako na wakwe zako waliokupa heshima kubwa kiasi hicho ?
Kwa hayo matendo fikiria utawezaje kuthaminiwa na watu timamu ?
Acha mengine yote, mrudishe kwanza MKEO.
Unaelewa ulichokiandika!!?
Manara ni malaya na ana mdomo mchafu huyo ni mke wa tatu kumkimbia na wengine walimkimbia kabla ya kuwa Simba na ni jeuri so asisingizie Simba, pia ni mwanamke asiye jielewa anayeweza kuishi na mwanaume design yakeHalafu hata kukimbiwa (kwenda kwao) na Mke wake, kwa mujibu wa maelezo yake, anaona kama kuna mkono kutoka SIMBA S.C. Na anadai kuna watu wanalipwa huko kwa ajili ya kumuangusha. Pia, viongozi wote wa Simba, wanasifiwa kwa kutomjibu chochote, hao viongozi wanajua WAKIINUA TU MIDOMO YAO kumuongelea yeye atawalipua,na HAWATAMSAHAU!
Hata hivyo, BILA KUJUA, ameisifia Simba kwa kumpa umaarufu, fedha, kutembea sehemu mbali mbali, kiasi kwamba MADEMU KIBAO walikuwa wanajileta kwake!
Ile ndoa aliyofunga majuzi tu ishakufa..?!Dogo kishafulia anatafuta hela kwa lazima. Mkewe kamkimbia anataka kumrudisha kwa mbwembwe.
Waswahili wana msemo pumbu si mzigo kwasababu ni lako jf acha ikuvumilie tu.Hua sijibu maswali ya kipumbavu,ila najua umenielewa tayari.