Manara asema ataishitaki Simba

Manara asema ataishitaki Simba

Tatizo ni kwamba,Manara alidekezwa sana na timu ya Simba.Sasa anataka kuendelea kudeka hata wakati huu hayupo Simba S.C.Amevimbiwa deko huyo!
Halafu DEKO zingine anazotusimulia anazozifanya, haoni hata aibu. Eti yeye, hajui kupika chochote zaidi ya chai ya rangi, hajui kufua hata chupi zake anafuliwa, hajui hata kuwasha TV!
 
Sasa hapo kuna mtu kweli au ni kiumbe kimeweka pozi?😝😝😝😝😝
 
Jana niliona jamaa dishi
Halafu hata kukimbiwa (kwenda kwao) na Mke wake, kwa mujibu wa maelezo yake, anaona kama kuna mkono kutoka SIMBA S.C. Na anadai kuna watu wanalipwa huko kwa ajili ya kumuangusha. Pia, viongozi wote wa Simba, wanasifiwa kwa kutomjibu chochote, hao viongozi wanajua WAKIINUA TU MIDOMO YAO kumuongelea yeye atawalipua,na HAWATAMSAHAU!
Hata hivyo, BILA KUJUA, ameisifia Simba kwa kumpa umaarufu, fedha, kutembea sehemu mbali mbali, kiasi kwamba MADEMU KIBAO walikuwa wanajileta kwake!
 
Kama alihiari kufanya kazi bila mkataba, sasa ataishtaki vipi Simba ?
Hapo inamaanisha alikuwa anajitolea tu.
Huko mahakamani atapeleka documenti zipi ili afungue mashtaka ?
Na kuna siku alisema alikuwa analipwa pesa kidogo, huo ndio ulikuwa ujira wake.
Ujira wa kuwa Kibarua na Mahakama itaridhia malipo hayo kuwa ni halari.

Huyo anataka kutusahaulisha habari zake za NDOA. tu
Ndoa aliyowaingiza chaka hadi Wastaafu wetu kwa kuwachangisha mamilioni ya pesa huku akijua fika hana nguvu za kuidumisha NDOA.
Mrudishe kwanza mkeo tuone kama una akili timamu.
Unamwachaje mtoto mzuri kama yule na kwa heshima uliyopewa na watu wanaoheshimika sana nchi hii pamoja na familia yako na ya wakwe zako ?
Unawatazamaje hao uliowachangisha, ndugu na jamaa zako na wakwe zako waliokupa heshima kubwa kiasi hicho ?

Kwa hayo matendo fikiria utawezaje kuthaminiwa na watu timamu ?
Acha mengine yote, mrudishe kwanza MKEO.
 
Yaani anasahau kua simba imemfanya afike alipo
 
in analeta janja anasahau kuwa ashaachwa
 
Halafu hata kukimbiwa (kwenda kwao) na Mke wake, kwa mujibu wa maelezo yake, anaona kama kuna mkono kutoka SIMBA S.C. Na anadai kuna watu wanalipwa huko kwa ajili ya kumuangusha. Pia, viongozi wote wa Simba, wanasifiwa kwa kutomjibu chochote, hao viongozi wanajua WAKIINUA TU MIDOMO YAO kumuongelea yeye atawalipua,na HAWATAMSAHAU!
Hata hivyo, BILA KUJUA, ameisifia Simba kwa kumpa umaarufu, fedha, kutembea sehemu mbali mbali, kiasi kwamba MADEMU KIBAO walikuwa wanajileta kwake!
Manara ni malaya na ana mdomo mchafu huyo ni mke wa tatu kumkimbia na wengine walimkimbia kabla ya kuwa Simba na ni jeuri so asisingizie Simba, pia ni mwanamke asiye jielewa anayeweza kuishi na mwanaume design yake
 
Kwani Manara amewahi kufanya kazi Simba? Si kasema hajawahi kuwa Simba? Asitubabaishe mwanaizaya yule! Kashapoteza ramani ya vita anambwela mbwela tu
 
Back
Top Bottom