cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 3, 2022 #21 Mdukuzii said: Unazunguka bure sema tu manara ni punga wa gsm,watu wanaoumulia kisogo Click to expand... Baada ya kuondoka Tonombe, kaona aangukie kwa boss weraaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdukuzii said: Unazunguka bure sema tu manara ni punga wa gsm,watu wanaoumulia kisogo Click to expand... Baada ya kuondoka Tonombe, kaona aangukie kwa boss weraaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 3, 2022 #22 SAGAI GALGANO said: Hata Mhandisi naye anabutuaView attachment 2280114 Click to expand... Yaan huyu kaburuzwaa na wachezaji baadhi, tena kutoka team zote alizowahi fanya kazi.
SAGAI GALGANO said: Hata Mhandisi naye anabutuaView attachment 2280114 Click to expand... Yaan huyu kaburuzwaa na wachezaji baadhi, tena kutoka team zote alizowahi fanya kazi.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 3, 2022 #23 Karia nimsomali mjinga mkubwa
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,436 Jul 3, 2022 #24 Huu urais wa r ndogo ni kazi Sana
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Jul 3, 2022 #25 Apigwe nduli karia. Manara mbele kwa mbele. Yani mtu kachokozwa halafu anyamaze ulisikia wapi
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 4, 2022 #26 mnamtetea manara kwa sababu nyie ni mazombi maana alishasema yanga wenye akili ni Kikwete na baba yake
mnamtetea manara kwa sababu nyie ni mazombi maana alishasema yanga wenye akili ni Kikwete na baba yake