Kwani hao viongozi wa walemavu huwa omba omba? Mbona ni watu wenye maisha yao sema wanajitoa kufikisha ujumbe kwa jamii!Hataki kufanya ulemavu wake kama fursa
Naunga mkono hoja wabongo wanataka alie lie yeye kachagua kuishi hivyoHaitaji msaada.
Napenda jinsi ambavyo anajikubali na hali yake hajioni kama ni mlemavu.
Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushirikiWakikwambia unawanyanyapaa utasemaje ?; Binafsi sioni ulemavu wake...
Na kuna wadau wengi walemavu nawajua hawapendi uwaone wapo tofauti na mara nyingine wewe unayewaonea huruma ndio una mapungufu wao they have peace of mind... wala hawaoni tofauti yoyote
Huwa namuonaga anavyokimbia uwanja wa taifa kwa madaha yote nawaza asingekuwa hvyo alivyo kuna watu angewatemea mateHaitaji msaada.
Napenda jinsi ambavyo anajikubali na hali yake hajioni kama ni mlemavu.
Kwani lazima?Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushiriki
Nani kasema kifutwe walioanzisha kama wanaona kinafaa all the best..., na wewe kama unaona kinafaa nenda kachangie, na kuchangia sio mpaka uende kuuza Sura hujui labda anachangia kwa siri...,Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushiriki
Haitaji msaada.
Napenda jinsi ambavyo anajikubali na hali yake hajioni kama ni mlemavu.
Lakini huwa akitaitiwa anasema anasemwa kwa sababu yeye ni albinoHaitaji msaada.
Napenda jinsi ambavyo anajikubali na hali yake hajioni kama ni mlemavu.
Yeye anawanyanyapaa wenxake wanapomuomba msaadaKwani lazima?