Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Siyo kwa nia mbaya !

Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka!

Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii!

Haji manara huwa hataki kabisa kushirikishwa kwenye jambo ili awe msemaji wa walemavu wanao omba msaada wake kama influencer!
 
Hataki kufanya ulemavu wake kama fursa
Kwani hao viongozi wa walemavu huwa omba omba? Mbona ni watu wenye maisha yao sema wanajitoa kufikisha ujumbe kwa jamii!

Haji manara kama influncer kila wanapomuomba awe msemajj anawakwepa anakwenda kulilia nafasi ya mipira wakati huku kwa walemavu wanamhitaji hataki
 
Wakikwambia unawanyanyapaa utasemaje ?; Binafsi sioni ulemavu wake...

Na kuna wadau wengi walemavu nawajua hawapendi uwaone wapo tofauti na mara nyingine wewe unayewaonea huruma ndio una mapungufu wao they have peace of mind... wala hawaoni tofauti yoyote
 
Ni mpumbavu huyo mwenye akili ya uchawa, hana itnellijensia yeyeto kichwani ndio maana anaadhirishwa kwa kujipendekeza kutokea Simba na sasa Yanga
Angekuwa angalau ana D mbili, angejua umuhimu wa kusaidia kwenye jambo lolote la charity....
 
Wakikwambia unawanyanyapaa utasemaje ?; Binafsi sioni ulemavu wake...

Na kuna wadau wengi walemavu nawajua hawapendi uwaone wapo tofauti na mara nyingine wewe unayewaonea huruma ndio una mapungufu wao they have peace of mind... wala hawaoni tofauti yoyote
Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushiriki
 
Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushiriki
Kwani lazima?
 
Basi chama cha walemavu kifutwe!..yeye kama kioo wanaomba msaada wake katika kuelimisha jamii ili kitokomeza tatizo la unyanyapaa! Lakini huwa hataki kabisa kushiriki
Nani kasema kifutwe walioanzisha kama wanaona kinafaa all the best..., na wewe kama unaona kinafaa nenda kachangie, na kuchangia sio mpaka uende kuuza Sura hujui labda anachangia kwa siri...,

Haya mambo ya kuanza kupangiana michango ni kuingiliana maisha..., Cha kufanya ni Serikali kuhakikisha kila mtu anakuwa included katika mambo yote ajira, elimu n.k. na sio kufanya matamasha ya kutembeza bakuli (ila wanaotembeza all the best na wasioona umuhimu nao wana haki hio), Ingawa binafsi naona kuna more effective ways za kutoa hata bila kuanikana adharani...
 
Back
Top Bottom