Manara: Heshima ya Yanga itatokana na matokeo!

Mikelele Siku hizi Haina Maana.

Wenzio wanatafuta international friendly Matches...Wewe unakwenda kucheza na Mbuni Fc na Friend Rangers Ya Manzese ..kweli?
Na wachambuzi wa mchele tz waliovamia kuchambua soka wakawa wanaitetea utopolo sio lzm kwenda nje kufata international friendly match, na kuibeza simba eti inapoteza resources tuu
 
Mashabiki wa yanga wanataka uongozi ushiriki kucheza mpira nje ya uwanja (lugha ya kificho). Wanataka magoli ya offside wanataka yakubalike kwa kucheza nje ya uwanja.
 
DALILI NYINGINE YA UCHAWI NI KUISHABIKIA YANGA[emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…