Manara huna mamlaka ya kumpangia kazi Zahera

Hivi wewe unategemea washabiki wa Simba & Yanga watakuja kukaa kiti kimoja?? Ikiwa timu za waarabu kabisa weupe so weusi wanakuja kucheza taifa Yanga wanashangilia na kuomba simba afungwe halafu ww una ndoto watakaa kiti kimoja?? Tutashirikiana kwenye kuzika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini mnamfatilia haji Sana jibu kisomi bhana

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
kati ya yanga na haji nani anamfatilie mwenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…