Dongo Kwa Mwamedi jamaa bado anamaumivu ya kukosa kazi
Duh. Imekuwa hivyo tena?
Mudy anahama nchi mbona.
Watu wanavyozid kumnyamazia na yeye ndo anazidi kuumia zaid anataman muajir wake wa zaman aitishe pc ili arushiane nae vijembe maana wanaume wa daslam ni wazee wa mipasho
Tuanzie na maendeleo yako, mtu ambaye unapenda kujadili mambo ya msingi tu
The one who likes to discuss about important things only, let us first discuss with your development progressTuibadili hii sentensi iwe kwa lugha yetu ile pendwa Mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo juzi nikawa nasema Kuna watu wanaweza kupoteza ushawishi baada ya kukosa vitu flani mfano kigogo huko Twitter amepoteza ushawishi tangu meko afariki leo hii watu wanamgombeza kama mtoto huko TwitterKingine anakosa content za kupost so anajikuta tu anataka kuanzisha tafrani.Ligi itakapoanza na hata hao wanaomchekea sasa hivi wataelekeza akili zao kwenye mpira na hapo ndipo Manara Depression itakuwa real,nani anataka kuona matangazo ya juice mara maziwa muda wote kwa page yake.
Mwisho wa siku Taleban wanaofadhiliwa na kushirikiana na Sunni watashinda na kupewa nchi yaoHuu mkwaruzano ni kati ya Sunni na Shia. Sisi mabohora, ismalia na wagalatia tumekaa pembeni tukiangalia.
Lakini licha ya hivyo yanauana yenyewe kwa yenyeweMwisho wa siku Taleban wanaofadhiliwa na kushirikiana na Sunni watashinda na kupewa nchi yao
Acha wauane, halafu hawa hakuna kuwapumzisha likiisha hili wanapewa taarifa nyingineLakini licha ya hivyo yanauana yenyewe kwa yenyewe
We si ndo umesema watanzania wana vitu vingi vya kujadili kwa maslahi ya taifa na sio simba, huyo mudi unaomjadili hapa ndo maslahi ya taifa hayo? Ndo mana nikakwambia we jamaa una element za kichawiOhooo!! Kwa hiyo Mudi ameshikwa masikio bila shaka! Yaani mtoto akisema, chochote! Kinacho fuatia ni utekelezaji!
Jamaa anaendelea kupiga vijembe kwa Mo, binadamu ni wa ajabu sana.Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.
Nikamwambia mimi ntakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo.
Unajua why? Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa.
Good luck mke wangu alinielewa na nawaomba ndugu zangu msichanganye kazi na mapenzi hata siku moja na wakati mwingine kuna nafuu kwa Mkeo kuliko Hawara au kimada.
WALLAH MTAHARIBIKIWA, don’t do that.
Kalipwa na GSM ili afanye hiyo kazi kwahiyo lazima aifanye ili atimize majukumu yake.Huyo kaishiwa, anajitutumua kutafuta kiki nje ya Simba. Mambo ya mkewe yanatuhusu nini sisi?!
Yeye aliamini kwamba Simba ni yeye sasa hivi spoon wary watamsahau.. anahitaji msaadaAna depression,japo watu wanamshangilia huko lakini wenye uelewa wanajua fika anapitia kipindi kigumu sana.Sijui kwanini aliamini maisha yake yote angebakia kufanya kazi Simba.
Sense ccm alipokuwa..Manara bila simba ni sawa na mamba nje ya maji.