Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

Inaelekea bado hajapata mkataba wa kueleweka au mkataba wenye donge nene. Kama angepata dili la maana asingeleta chokochoko kwa mwajiri wake wa zamani!

Anachofanya anaonesha ana uchungu wa hali ya juu! Yaani anaumia mno mno!
 
Watu wanavyozid kumnyamazia na yeye ndo anazidi kuumia zaid anataman muajir wake wa zaman aitishe pc ili arushiane nae vijembe maana wanaume wa daslam ni wazee wa mipasho

Kingine anakosa content za kupost so anajikuta tu anataka kuanzisha tafrani. Ligi itakapoanza na hata hao wanaomchekea sasa hivi wataelekeza akili zao kwenye mpira na hapo ndipo Manara Depression itakuwa real, nani anataka kuona matangazo ya juice mara maziwa muda wote kwa page yake.
 
Tuibadili hii sentensi iwe kwa lugha yetu ile pendwa Mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
The one who likes to discuss about important things only, let us first discuss with your development progress
 
Kingine anakosa content za kupost so anajikuta tu anataka kuanzisha tafrani.Ligi itakapoanza na hata hao wanaomchekea sasa hivi wataelekeza akili zao kwenye mpira na hapo ndipo Manara Depression itakuwa real,nani anataka kuona matangazo ya juice mara maziwa muda wote kwa page yake.
Ndo juzi nikawa nasema Kuna watu wanaweza kupoteza ushawishi baada ya kukosa vitu flani mfano kigogo huko Twitter amepoteza ushawishi tangu meko afariki leo hii watu wanamgombeza kama mtoto huko Twitter

Huyu manara hajui umaarufu wake na nguvu ya ushawishi aliyonayo imetokana na Simba ndo maana ikafika hatua akawa na dharau za kupindukia sahivi kaanza kashfa za ajabu ajabu kwa club iliyompa nguvu ya ushawishi ni lazma atapoteza ubora na hata hao wanaompa bidhaa atangaze wanaweza kupunguza offer kwake maana nguvu ya ushawish itakuwa haiendani na malipo
 
Manara hichi ndicho kilichomponza mswahili, mnafiki, mfitini, mwanamke kuliko wanawake wenyewe...shubamiti!

Mashabiki wa simba wame move on, alikuwa analilia kuondoka simba kishaondoka, watu tume move on, life goes on, aendelee na maisha mapya.

Alishatakiwa kila la heri na fanaka aendako. Kumbe sitaki nataka, king'ang'anizi.


Everyday is Saturday............................. 😎
 
Huu mkwaruzano ni kati ya Sunni na Shia. Sisi mabohora, ismalia na wagalatia tumekaa pembeni tukiangalia.
 
Huu mkwaruzano ni kati ya Sunni na Shia. Sisi mabohora, ismalia na wagalatia tumekaa pembeni tukiangalia.
Mwisho wa siku Taleban wanaofadhiliwa na kushirikiana na Sunni watashinda na kupewa nchi yao
 
Mapenzi yabaki kuwa mapenzi, na mziki ubaki kuwa mziki.....kongole kwa Manara.
 
Ohooo!! Kwa hiyo Mudi ameshikwa masikio bila shaka! Yaani mtoto akisema, chochote! Kinacho fuatia ni utekelezaji!
We si ndo umesema watanzania wana vitu vingi vya kujadili kwa maslahi ya taifa na sio simba, huyo mudi unaomjadili hapa ndo maslahi ya taifa hayo? Ndo mana nikakwambia we jamaa una element za kichawi
 
Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.

Nikamwambia mimi ntakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo.

Unajua why? Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa.

Good luck mke wangu alinielewa na nawaomba ndugu zangu msichanganye kazi na mapenzi hata siku moja na wakati mwingine kuna nafuu kwa Mkeo kuliko Hawara au kimada.

WALLAH MTAHARIBIKIWA, don’t do that.
Jamaa anaendelea kupiga vijembe kwa Mo, binadamu ni wa ajabu sana.
 
Ana depression,japo watu wanamshangilia huko lakini wenye uelewa wanajua fika anapitia kipindi kigumu sana.Sijui kwanini aliamini maisha yake yote angebakia kufanya kazi Simba.
Yeye aliamini kwamba Simba ni yeye sasa hivi spoon wary watamsahau.. anahitaji msaada
 
Back
Top Bottom