Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

Exactly, Manara ameumia Sana kupigwa chini na Simba, amebakia kubwabwaja tu hana jipya
 
Nani atatumia bidhaa zinazotangazwa na huyo mwehu, sifikirii mtu timamu anaweza kunywa mavitu yanayotangazwa na huyo albino, inawezekana hao anaowatangazia wanafanana akili
 
Well said brother! Penze kitovo ya uzembe kazene!!
 
Manara, una maana MO ana........... CEO wake?
 
Kabachori ameingiza mwanamke wake aje atuharubie simba
Hakuna kitu kibaya kama ufukara. Na hasa kama ufukara utaendana na uvivu na njaa kali ya kutaka vya bure. Imagine tajiri anachukuwa kimada wake na kumfanya kiongozi huku walalahoi wamekaa wanasujudu. Anyways mimi ushabiki kwenye mpira wa Bongo nilishaacha siku nyingi baada ya kugundua wahindi wanazitumia klabu za mpira kujiongezea umaarufu.
 
Hata kama unajificha ila wewe ni nyani jinsi tu unavyorukaruka moja kwa moja unaonyesha unyani wako,una uhakika CEO wa simba ni kimada wa mwekezaji?! Unaweza kuweka ushaidi hapa?!
Wakina nani wanaotaka vya bure? Unamaanisha wana Simba? Uwanjani hawalipi kiingilio?! Hawanunui jezi za timu? Hawaperuzi mitandao ya timu? Kama wanafanya yote hayo neno bure linatoka wapi?
unajua maana ya kusujudiwa? Ni lini na wapi wanasimba wanamsujudia MO? Mafanikio ya Simba unayajua? Unajua yameletwa na nani?! Nyinyi nyani mmewahi kupata mafanikio yeyote toka mwarabu wenu achukue timu? Ndio tunajua nyani ni wanyama wanaopenda kuruka ruka basi angalau mluke kwa akili sio hivi mnavyofanya.
 
The one who likes to discuss about important things only, let us first discuss with your development progress

[emoji3][emoji3][emoji3] mtani una balaa wewe [emoji119][emoji119]
 
Kabachori ameingiza mwanamke wake aje atuharubie simba

Na wewe mlete Mwajuma ndala ndefu wako ruksa! unachotakiwa kufanya ni kuweka bilion kadhaa kwa Simba,nnje ya hapo unatupigia makelele tu
 
Hv jamaa amebaki kuwa mshabiki wa Simba akifanya kazi na matajiri wa Yanga.......
 

Umetolea mfano halisi kabisa wa Kigogo,nadhani ni mmoja ya watu wanaomiss sana kutokuwepo kwa JPM,nachekaga sana anavyosutana na wafuasi wake siku hizi[emoji3][emoji3]


Back to Manara, kinachomgharimu ni kukosa elimu ya kawaida ya kujua wapi walau asimamie ili kuweza kuendelea kuwashikilia wale waliokuwa upande wake,mwanzoni baadhi ya Mashabiki wa Simba walikuwa upande wake,lkn kwa sasa kadri anavyoendelea kutoa vijembe unakuta 70% ya Waliokuwa wanamuunga mkono wanamwambia kabisa wazi kuwa keshaanza kuboa na sijui kama hata anapitia comments za watu kupima upepo na waliobaki wanamsifia kwa sasa utakuta ni Yanga,subiri Ligi ianze halafu Matokeo hasa ya wanaomsuport yasiwe mazuri ndiyo atajikuta peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…