Mshenzi huyo Hana jipya, kiukweli Mimi huwa simwamini masikini mwenzangu anayepiga domo badala ya kutoa mafungu ya kufanikisha adhma ya taasisi.
Manara ana bahati Sana ya kupata nafasi ya kubishana na mtu mwenye pesa nyingi na anachangia 3% - 4% ya GDP ya Tanzania.
Naona ni washenzi fulani wanampa moyo manara wa kuendelea kumtupia vijembe Mo Dewji. Mo anachotakiwa Ni kunyamaza tu maana anayoyafanya yanaonekana wazi kutupa furaha mashabiki wa Simba SC.
Simba SC bila pesa za Mo ingekuwa ya hovyo tu hata manara angeongea vipi.
Sent from my TECNO KD6 using
JamiiForums mobile app