Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

Mashabiki wa simba walionwengi himu jukwaani, muda wote wanamuwaza Haji Manara tu! Na hapa ndipo sasa ile kauli ya Rage inapokuwa na mashiko.

Maana kila atakachoposti huko instagram kwake, basi lazima waje waanzishe uzi humu! Aongee ujinga wowote ule, kwao ni story ya kuja kusimulia humu jukwaani!

Kwa kweli inastaajabisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…