Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣

Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?

5D107DC5-2738-41AF-B93F-5A1FFA68948F.png
 
Mashabiki wa simba walionwengi himu jukwaani, muda wote wanamuwaza Haji Manara tu! Na hapa ndipo sasa ile kauli ya Rage inapokuwa na mashiko.

Maana kila atakachoposti huko instagram kwake, basi lazima waje waanzishe uzi humu! Aongee ujinga wowote ule, kwao ni story ya kuja kusimulia humu jukwaani!

Kwa kweli inastaajabisha sana.
 
Back
Top Bottom