Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Haya kamchapeManara abuse yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans .
Yanga fans are taken as fools
Simba wamemkataa Dulla Makabila Kwa issue kama hizo ila UTO ilimradi unaikashifu Simba muda huu hata kama uliwahi kuinyea timu Yao wanakukaribisha. AIBU😔Yanga wamejaa mapoyoyo haiwezekani mtu awatukane miaka yote hiyo harafu leo mnamchekelea anakuja kujifanya ni yanga dam wakati mnahema alikua anawatukana hasa.Pigeni chini huyo snich.Hivi hata akili hamna jamani watani
Huu ni ushahidi mwingine kwamba kauli ilikuwa sahihi. Dulla Makabila aliikashifu kidogo tu Simba, lakini fans wamekomaa naye uongozi umemnyima kazi. Yanga akili hawanaYanga wamejaa mapoyoyo haiwezekani mtu awatukane miaka yote hiyo harafu leo mnamchekelea anakuja kujifanya ni yanga dam wakati mnahema alikua anawatukana hasa.Pigeni chini huyo snich.Hivi hata akili hamna jamani watani
Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?Yanga wamejaa mapoyoyo haiwezekani mtu awatukane miaka yote hiyo harafu leo mnamchekelea anakuja kujifanya ni yanga dam wakati mnahema alikua anawatukana hasa.Pigeni chini huyo snich.Hivi hata akili hamna jamani watani
Kweli u mbumbumbu ni mzigo, hivi kwanini ukasirike na kujaa povu kisa Haji amesema Yeye ni Yanga kuliko wote.Simba wamemkataa Dulla Makabila Kwa issue kama hizo ila UTO ilimradi unaikashifu Simba muda huu hata kama uliwahi kuinyea timu Yao wanakukaribisha. AIBU😔
Endeleeni kula mabaki yetu....Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manata, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Hamna ujanja ndo kashakua mgeni wenu mpeni maji aoge atoe shombo... japo inaumiza mkikumbuka shombo alizowamwagia pindi yupo upande wa piliKweli u mbumbumbu ni mzigo, hivi kwanini ukasirike na kujaa povu kisa Haji amesema Yeye ni Yanga kuliko wote.
Nawewe useme kua ni Simba kuliko wote.
Aah timu ya wananchi,,,,,,,huku sio kwa mikia acha wazee wa yanga waweke kikao kwanzaHamna ujanja ndo kashakua mgeni wenu mpeni maji aoge atoe shombo... japo inaumiza mkikumbuka shombo alizowamwagia pindi yupo upande wa pili
Hatuwaachi, tunawaleni kivyote pande zote, vile mpo wanono sana😉Endeleeni kula mabaki yetu....
Manara ni kirusi na amekuja kuchafua hali ya hewa, na anajaribu kuleta chokochoko kwa Mnyama lakini Semaji linampiga za Chembe mpaka anapagawa, Kwa kifupi Mzungu poli anaifubaza Yanga maana anachokiongea hakieleweki anajitia kidole na kujinusa. Watu hatuna habari.Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manata, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Huyu miaka mingi alikuwa Simba kuliko Yanga,kwanini usijiulize aliposema Yanga wenye akili ni wawili,na ameonyesha kwa vitendo kawatukana na amekuwa kiongozi waoYaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manata, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye