KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Timu yako kila kukicha inapokea vipigo.Waza namna ya kuipambania achana na YANGAHuyu Jamaa ni Mgonjwa wa akili aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu yako kila kukicha inapokea vipigo.Waza namna ya kuipambania achana na YANGAHuyu Jamaa ni Mgonjwa wa akili aisee...
Huyo zeruzeru ni njaa inamsumbua. Na modweji hataki kabisa shobo na machawa wanaokula kwa kupepeta mdomoManara ni Yanga kweli, hilo halina utata kwa tuliokulia Kariakoo na tunaoijuwa Yanga toka ipo mtaa wa Mafia na Ukame.
Nadhani kuna aina mbili za kiuongozi, Uongozi wa Simba huwa unapenda kusikiliza sana nini mashabiki wanasema/ wanataka na ndio maana kuna makocha wengi wamefukuzwa, wachezaji wengi wamesitishwa mikataba na kuachwa, wachezaji wengi wameletwa kutokana na shinikozo la mashabiki. Mfano kurudi kwa Chama na Luis.Simba wamemkataa Dulla Makabila Kwa issue kama hizo ila UTO ilimradi unaikashifu Simba muda huu hata kama uliwahi kuinyea timu Yao wanakukaribisha. AIBU[emoji17]
Mtu yupo kabisa hapo. Maana sitegemei MAKOLO yatoe comment nzuri kuhusu walioko Yanga. Mfano;View attachment 3060056
View attachment 3060057
kilwakivinje Ngalikihinja Labani og Kuna mtu hapa debe tupu ???
Shida iliyopo ni kuwa wenye akili Yanga wako wawili tu, wewe haumo hivyo huwezi kuona tatizoKama kuna mtu anaumia kwa hiyo kauli yake basi ni poyoyo..
Kwani nikisema mimi ni yanga kuliko wote kuna shida gani hapo??
Yaani watu wanaotumia hiyo kauli naonaga ni mazwazwa pro max.Shida iliyopo ni kuwa wenye akili Yanga wako wawili tu, wewe haumo hivyo huwezi kuona tatizo
Hajakosa kula huyo. Kumbuka hilo.Huyo zeruzeru ni njaa inamsumbua. Na modweji hataki kabisa shobo na machawa wanaokula kwa kupepeta mdomo
Yanga na simba zimekuwa club kubwa zilivo kwakuwa na mashabiki na wananchama wahafidhina na extremists. Huwezi kuwa na misimamo ya wastani ukajenga club zinazoigawa nchi mara 2 kiushabiki otherwise unaishia kuwa kama kina Azam. Kwahiyo yes ni sahihi kabisa kubishana hadi kuvua shati linapokuja suala la Yanga na simba.Mashabiki wa mpira wabongo mnachukulia mambo serious kuna mjinga mmoja anabishana hadi anavua shati
Njaa yake ni kaliiiii.Hajakosa kula huyo. Kumbuka hilo.
= anazurura.Njaa yake ni kaliiiii.
Miaka 60, anazurula kwenye viappartment vya kupanga na vitoto.
Nuru ya uso Hakuna, FILTERS za simu zinamdanganya
Ni kwasababu timu inapata matokeo. Siku timu ikianza kupoteana, watu wataanza kunyoosheana vidole na kufukuzana hapo YangaNadhani kuna aina mbili za kiuongozi, Uongozi wa Simba huwa unapenda kusikiliza sana nini mashabiki wanasema/ wanataka na ndio maana kuna makocha wengi wamefukuzwa, wachezaji wengi wamesitishwa mikataba na kuachwa, wachezaji wengi wameletwa kutokana na shinikozo la mashabiki. Mfano kurudi kwa Chama na Luis.
Uongozi wa Yanga upo tofauti, wao wanasimamia wanachoamini na sio wanachotaka mashabiki au wanachama. Mfano mashabiki walipiga kelele kurudi kwa Morisson lakini wapi. Usajili wa Mkude ulipigiwa kelele asisajiliwe lakini wapi, Manara ujio wake mashabiki walishinikiza asipewe kazi Yanga lakini wapi, usajili wa Chama watu waliukataa lakini wapi. Na mwisho kurudi kwa Manara kwa mara nyingine sio kama mashabiki hawajapaza sauti bali wamemkataa sana lakini uongozi wa Yanga wameweka pamba masikioni. Hapa unaona aina mbili za kiuongozi

Siku akifuta kauli ya wenye akili yanga ni wawili tu, ndio nitaamini kuwa Haji ni YangaManara ni Yanga kweli, hilo halina utata kwa tuliokulia Kariakoo na tunaoijuwa Yanga toka ipo mtaa wa Mafia na Ukame.
Unaona anavyoijuwa kazi yake, maneno yake mpaka leo yana "impact".Siku akifuta kauli ya wenye akili yanga ni wawili tu, ndio nitaamini kuwa Haji ni Yanga
mzee unataka tuache kufanya mambo ya maana tushughulike na upuuzi!!!hizo ni mambo yenu makolo,kamasio manara yanga sana we unadhani nani yanga sana?Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
View attachment 3059939