Manara Leo anasema yeye Yanga kuliko wote. Shame Mashabiki wa Yanga mpo Kimya?

Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manata, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Haitwi manata, ni manara. Bajeti ya mshahara wake isikuchanganye mpaka unakosea jina boss. Nunua batiki jamaa alipwe, ndo kinachomuweka hapo.
 
Nawaandikieni bure hivyo lazima nijikiseshe ili na nyie niwape kazi ya kutafuta makosa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Huyu miaka mingi alikuwa Simba kuliko Yanga,kwanini usijiulize aliposema Yanga wenye akili ni wawili,na ameonyesha kwa vitendo kawatukana na amekuwa kiongozi wao
Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.
Yanga wakikuchukua wanakupa deliverables na hizi ndizo watakupima nazo. Mapenzi na ushabiki wako haviwahusu bali utendaji wako
 
Manara ni kirusi na amekuja kuchafua hali ya hewa, na anajaribu kuleta chokochoko kwa Mnyama lakini Semaji linampiga za Chembe mpaka anapagawa, Kwa kifupi Mzungu poli anaifubaza Yanga maana anachokiongea hakieleweki anajitia kidole na kujinusa. Watu hatuna habari.
Fukuza hilo Boyaaa linaitia nuksi Klabu maana kila siku anakuja propaganda za Kiboya lakini anajibiwa Kisayansi na Kiteknolojia na Madogo ya kumuumiza roho. Ngoja kesho tuamke tusikilizie atakuja ni porojo gani
Amejaribu kutikisa amegundua kumbe hawapo vile alivyofikiri, sasa hivi amebaki anajichekesha na kuomba urafiki tu, fala sana yule.
 
Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.
Yanga wakikuchukua wanakupa deliverables na hizi ndizo watakupima nazo. Mapenzi na ushabiki wako haviwahusu bali utendaji wako
Yanga ni kimbilio ya makapi ya Simba,ni lini Yanga ilimnunua mchezaji kutoka Simba kama sio waliomaliza mikataba au wameachwa?
 
Manara ni mwanasoka wa ukweli, siyo mnazi wa kijingjinga, anaupoenda mpira. Haijalishi awe Yanga, Simba au timu nyingine yoyote ile.

Awachwe afanye kazi yake anayoipenda. Kupiga porojo za mpira.
 
Jamaa alishasema yanga wote hawana akili kwahiyo anatumia udhaifu wa yanga kutokua na akili
 
Yanga ni kimbilio ya makapi ya Simba,ni lini Yanga ilimnunua mchezaji kutoka Simba kama sio waliomaliza mikataba au wameachwa?
Makapi yote njooni Yanga, tunajua jinsi ya kuwatumia and no matter what kwetu lazima muwe productive.
Sisi Yanga hata ukituletea au ukituonyesha vinyesi vya wanyama tutaviokota na kuvitumia kama mbolea, that’s our strength mkuu, and we are proud of it.
 
Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.
Yanga wakikuchukua wanakupa deliverables na hizi ndizo watakupima nazo. Mapenzi na ushabiki wako haviwahusu bali utendaji wako
Yanga Manara.jpg

kilwakivinje Ngalikihinja Labani og Kuna mtu hapa debe tupu ???
 
Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manara, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Hakuna kitu kama hicho tuumie kwa lipi kwani alikua ancheza no ngapi si kidomo domo tu sisi tunawacheka nyie ...mwanamke akutukane matusi yote akushushe hadhi na kukuona takataka leo unamchukua ?Kweli ile kauli yake pale yanga wenye akili ni watatu tu 🤣🤣yaliyo baki na makopo ya chooni.
 
Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
unaandika kingereza chako nani kakuambia mashabiki wa yanga tunaelewa hiyo lugha😂😂😂🤣🤣
 
Hakuna kitu kama hicho tuumie kwa lipi kwani alikua ancheza no ngapi si kidomo domo tu sisi tunawacheka nyie ...mwanamke akutukane matusi yote akushushe hadhi na kukuona takataka leo unamchukua ?Kweli ile kauli yake pale yanga wenye akili ni watatu tu 🤣🤣yaliyo baki na makopo ya chooni.
Hata wewe ukiweza tukana matusi yote ukimaliza njoo tutakupokea na kukupa kazi
 
Back
Top Bottom