-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Maisha ukiya take it easy utapata raha sana my friend. Jaribu!Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
View attachment 3059939
Haitwi manata, ni manara. Bajeti ya mshahara wake isikuchanganye mpaka unakosea jina boss. Nunua batiki jamaa alipwe, ndo kinachomuweka hapo.Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manata, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Manara ni Yanga kweli, hilo halina utata kwa tuliokulia Kariakoo na tunaoijuwa Yanga toka ipo mtaa wa Mafia na Ukame.Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
View attachment 3059939
Nawaandikieni bure hivyo lazima nijikiseshe ili na nyie niwape kazi ya kutafuta makosaHaitwi manata, ni manara. Bajeti ya mshahara wake isikuchanganye mpaka unakosea jina boss. Nunua batiki jamaa alipwe, ndo kinachomuweka hapo.
Endeleeni kula mabaki yetu....
Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.Huyu miaka mingi alikuwa Simba kuliko Yanga,kwanini usijiulize aliposema Yanga wenye akili ni wawili,na ameonyesha kwa vitendo kawatukana na amekuwa kiongozi wao
Naamini upo sahihiManara ni Yanga kweli, hilo halina utata kwa tuliokulia Kariakoo na tunaoijuwa Yanga toka ipo mtaa wa Mafia na Ukame.
Amejaribu kutikisa amegundua kumbe hawapo vile alivyofikiri, sasa hivi amebaki anajichekesha na kuomba urafiki tu, fala sana yule.Manara ni kirusi na amekuja kuchafua hali ya hewa, na anajaribu kuleta chokochoko kwa Mnyama lakini Semaji linampiga za Chembe mpaka anapagawa, Kwa kifupi Mzungu poli anaifubaza Yanga maana anachokiongea hakieleweki anajitia kidole na kujinusa. Watu hatuna habari.
Fukuza hilo Boyaaa linaitia nuksi Klabu maana kila siku anakuja propaganda za Kiboya lakini anajibiwa Kisayansi na Kiteknolojia na Madogo ya kumuumiza roho. Ngoja kesho tuamke tusikilizie atakuja ni porojo gani
Yanga ni kimbilio ya makapi ya Simba,ni lini Yanga ilimnunua mchezaji kutoka Simba kama sio waliomaliza mikataba au wameachwa?Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.
Yanga wakikuchukua wanakupa deliverables na hizi ndizo watakupima nazo. Mapenzi na ushabiki wako haviwahusu bali utendaji wako
Makapi yote njooni Yanga, tunajua jinsi ya kuwatumia and no matter what kwetu lazima muwe productive.Yanga ni kimbilio ya makapi ya Simba,ni lini Yanga ilimnunua mchezaji kutoka Simba kama sio waliomaliza mikataba au wameachwa?
Yanga ni timu ya Wananchi, ndiyo kimbilio lenu huku yeyote anakaribishwa. Maadam utakachopangiwa ukifanye, ule uzamani ambao hata mchezaji ilipogundulika ni mchezaji wa wa upande ule basi upande huu hautamsajiri au siku timu hizi zikikutana alikuwa akiwekea benchi.
Yanga wakikuchukua wanakupa deliverables na hizi ndizo watakupima nazo. Mapenzi na ushabiki wako haviwahusu bali utendaji wako
Chizi huyo, Yanga wamempa hifadhi kibinaadam anataka kujiona ndiye mmilikiView attachment 3060056
View attachment 3060057
kilwakivinje Ngalikihinja Labani og Kuna mtu hapa debe tupu ???
Hakuna kitu kama hicho tuumie kwa lipi kwani alikua ancheza no ngapi si kidomo domo tu sisi tunawacheka nyie ...mwanamke akutukane matusi yote akushushe hadhi na kukuona takataka leo unamchukua ?Kweli ile kauli yake pale yanga wenye akili ni watatu tu 🤣🤣yaliyo baki na makopo ya chooni.Yaani Simba ni vizibo kweli, kumbe miaka yote walikuwa wanaishi na mtu ambaye mkiifunga Yanga alikuwa anaumia?
Mimi nionacho Simba ndiyo wanaumizwa zaidi na Manara, sababu wao ndiyo wanamfuatilia na kumsikikiza hatua kwa hatua, Yanga wala hawana taimu naye
Unateseka ukiwa wapi?Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
View attachment 3059939
unaandika kingereza chako nani kakuambia mashabiki wa yanga tunaelewa hiyo lugha😂😂😂🤣🤣Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Hata wewe ukiweza tukana matusi yote ukimaliza njoo tutakupokea na kukupa kaziHakuna kitu kama hicho tuumie kwa lipi kwani alikua ancheza no ngapi si kidomo domo tu sisi tunawacheka nyie ...mwanamke akutukane matusi yote akushushe hadhi na kukuona takataka leo unamchukua ?Kweli ile kauli yake pale yanga wenye akili ni watatu tu 🤣🤣yaliyo baki na makopo ya chooni.