MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what.
Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya kufurahia shida za Watu na wakati mwingine kuombeana mabaya kabisa
Inafika muda mtu anaweka kabisa post ya kutaka mtu anaemjua kabisa afungiwe au hata afungwe jela au kushtakiwa, hii sio uungwana ndugu zangu, na tujue shida na matatizo hayana mmoja na sote hatuijui kesho yetu.
Nakumbuka vzuri nilipoondoka Simba, baadhi ya watu ninaowafahamu na ambao hata kuchill sometimes tunachil wote, jinsi walivyofurahia na kuandika makala moto moto za hadi kusema nimekwisha, Wengine walienda mbali zaidi na kusema sitaajiriwa kokote, na ntapoteza endowments zangu zote za kibiashara, utadhani wao ndio wagawa rizki au Manaibu Mungu vile!!
Hivi unawezaje kibinadaamu Mhangaikaji mwenzio na mpo wote ktk tasnia ya football, ukapost video ya mtu wa mtaani anasema Fulani anapaswa kushtakiwa au afungwe jela na hafai kuwemo ktk Soka, Mpira huu huu au vita ndugu zangu? Tupende kuweka akiba Mabibi na Mabwana! Sote tunahitajiana kwa hili au lingine.
Mtu umepata kifursa kidogo cha kusikika redioni basi kutwa kutaka wenzio waharibikiwe,,unatumia kipindi cha masaa zaidi ya mawili kumsema binadamu mwenzako, tena unazishangaa mamlaka za Soka kwa kumpiga faini binadamu mwenzio, badala ya kumfungia,,,au kutaka Polisi wakamate wenzio kisa nn? Punguzeni hzo roho watu wangu, tuna kesho yetu tusiyoijua
Tusipende kuombeana mabaya kwa kuwa tu tunatofautiana mitazamo ya kikazi au ya kishabiki wa mpira, mimi kwangu naona huo ni ushenzi na ushamba, na ktk jambo hili la ndugu yangu huyu,,kutoka moyoni namuombea kwa Mungu na naamini litaisha, cc watu wa mpira ni wasamehevu na naamini TFF (@tanfootball) wanazungumzika kwa maslahi makubwa ya football.
Pole bro na naamini jambo lako litaisha kwa amani 🙏🏻
@shaffihdauda_
au Manara unadhani hatujui jana ulivyokuwa na Furaha baada ya Kusikia Dauda kala hiyo Nyundo ya TFF?
Mnafiki mkubwa Wewe eti leo ndiyo unajifanya Kutuzuga kwa Kuongea maneno ya Busara na Hekima kuhusu Mpira wa Tanzania wakati ni Wewe huyu huyu Juzi uliwachafua Simba SC, Tanzania kama nchi na Wadau wa Michezo kwa ile post yako ya Kikatili Instagram uliyowaandikia Watu wa Asec Mimosas ambayo nashangaa kwanini mpaka hii leo Wizara, Polisi na TFF hawajakuita Kukuhoji na Kukuadhibu vikali pia.
Yes Mimi Mightier wa hapa JamiiForums ndiyo nilianzisha juzi Mada za kutaka Ukamatwe, Uhojiwe na Ufungiwe katika Medani za Soka nchini na najua tu kuwa Siku si nyingi Unaadhibiwa tena anza Kujiandaa Kisaikolojia.
Nitaacha Kukuandama hapa JamiiForums mpaka pale tu nawe utakapoacha Kutuandama Simba SC, Kutuchafua, Kuichafua Brand yetu na Kuwatukana Matajiri na Viongozi wetu Waandamizi.
Endelea tu kunihisi Mimi ndiyo Dauda!