Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

Moderator Popoma karudi na ID nyingine huku ipigeni BAN na hii..
 
Nilikuja kwenye uzi huu nduki nikadhani kuna sehemu Manara kakutaja kumbe misifa tu ya kipuuzi
Hili jamaa@mightier huwa ni puga siyo la kuzoea na ndo maana lina ids 20 kdg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…