Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa.
Katika kauli zake amekua akitamka vita ya umaarufu, na maranyingi amekua alisema anapigwa vita Kwa umaarufu wake. Kila akikosana na mtu anakimbilia kusena kuwa ni sababu ya umaarufu.
... Ukweli ni kwamba Manara ndiye anaweka vita na watu maarufu katika soka. Mfano: Antonio Nugaz, Bumbuli, Mo dewj, Shaffi Dauda, Jemedari nk.
Wapo watu walikuta Maarufu upande wa Yanga lakini Manara amewapoteza( AMEUA umaarufu wao) baada ya kuhamia Yanga. Mfano:
Mzee mpili, Jimmy Kindoki, Daud Yanga, Frank Yanga, Mzee wa Utopolo na wengine wengi.
Ilifikia hatua hao watu kualikwa redioni na television kwenye vipindi vya michezo. Tunajua wapo ambao walikuta wameanza kupata umaarufu na sio muda labda wangepata dili za ubalozi au matangazo. Lakini baada ya Manara kuingia Yanga, hao wote wamepotea.
Manara anapenda aonekane anafanya Kila kitu ma kupata Umaarufu yeye.
Jambo la kujiuliza, kwanini anavita na Kila mtu? Mpaka Mzee Karia eti anataka umaarufu wa Manara!? Mzee Karia Anataka followers?
Kwanini Manara hataki kushiriliana na wengine wanao unekana kuibuka pale alipo?
Tukubaliane, Manara AMEUA nyota za wengi